Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Kimenuka: Ommy Dimpoz amjibu Diamond, amuita mwanae

Mtoto wa kiume akishaanza kuandika maneno ya kijinga yanayotumiwa na wanawake waliokosa stara ambayo hata wanawake wanaojitambua hawawezi kuyatumia huwa naanza kuwa na wasiwasi nae...mwanaume utamke “umenichamb*" hadharani sio ushoga huo?

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
Mbona mimi natumia hayo maneno mzee baba wala hayana noma usiwe na wasi wasi.

1. Mweeeh
2. Jomoni
3. Vepeee
4. Ubuyu
 
Waswahili Wana sema mbwa anaye bweka mara zote huwa hang'ati nina wasiwasi
 
Duuh hatar kwel kwaiyo dimpoz kamega tunda la bi sandra !! Mbona huyu omi ana roho ngumu hivi tupeme ndo kakosa papuchi zote huko mtaani [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pata picha bimkubwa alikuwa anaukatikia?
Duuh yaan yote lakin bimkubwa kuliwa na adui yaan unapata picha ww unapambana vita bimkubwa anaenda kumstarehesha adui apate nguvu za kupambana na mikatikio ya ajabu mambo mengine yaskie kwa jirani tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom