Kimenuka: Robbkardashian na Chyna wachafuana mitandaoni

Kimenuka: Robbkardashian na Chyna wachafuana mitandaoni

Matangazo yao yanakuwaga hivi. How to get a Brazilian butt in seven days [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu unakuta mtu anafanya squats 4 kwa siku. Jaribu wewe sasa. Utalala na kuamka squats hauoni kitu.

Sent from my E5306 using JamiiForums mobile app

Nachoamini haya maumbile either majaliwa yaka Mungu au surgery mengine ni mbwembwe tu za mitandao
 
Uyu. Rob mtu wa ajab sana yan mtu Ana pesa anaendeshwa na wanawake wanaotafta pesa aseeh, ..yaan kwang wasingepata ata mia na ningewatafuna vile vile dunia ina vituko, mtu Ana kila kitu bado Ana shida hatarii

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
Nachoamini haya maumbile either majaliwa yaka Mungu au surgery mengine ni mbwembwe tu za mitandao
Hata ya surgery yataka maintenance.

Sent from my E5306 using JamiiForums mobile app
 
ROB huko Twitter hana la maana zaidi ya kulia kwamba alimlend Chyn kumbe Chyna alikwenda kwake kulipia kisas.

Okay ngoja niwape kistory kifupi;

Black Chyna alikuwa ni mchezaji uchi mwenye Kasino huko Marekani, akawa anampenda sana Nicky Minaj mpaka anaiga swaga zake maisha yake na mamake yalikuwa ya hali ya chini sana..

Mungu sio Athumani akapata zali la kuwa video modo. Akafanya video na Tyga inaitwa Rock City. Tyga akamtamani wakawa wapenzi. Tokea hapo maisha ya Chyna yakabadilika akawa na urafiki na watu maarufu kama akina Kim Kardashian, Amber Rose.

Sasa wakabahatika kupata mtoto mmoja na Tyga, bahati mbaya mapenzi yakaenda kombo baada ya Tyga kukutana na mdogow wake Kim anaitwa Kyie.

Kipindi hicho Kylie ana miaka 1, wakawa na mahusiano na Tyga akambwaga Chyna na Chyna alimpenda sana Tyga.

Ukawa ugomvi kwenye mitandao wanatukanana Chyna anammaind Kim kwanini anamsapoti mdogo wake kumuibia bwana wakati walikuwa friends? Ndipo Chyna akamfuata kaka wa Kim na Kyle, ndio huyo Rob sasa.

Akamseduce, Rob alikuwa lonely wanawake hawamtaki maana ni mnene pia ana kibamia, ila Chyna akajifanya kumpenda. Rob akaingia line, akampa mimba. Kumbe mwenzie alitaka kulipa kisasi cha kwanini mdogo wake kamuibia Bwanaake, hivyo nayeye (kukomoa) analala na kaka yake

Bwana unaambiwa baada ya Kyle kuachana na Tyga, Chyna nae akapunguza mapenzi kwa Rob. Akawa hataki tena mtoto wao. Ndio akawa anamtumia picha na video akiliwa uroda.

Masikini Rob anasema anajuta kwani watu walimsihi ila yeye alimpenda hivyo hivyo Chyna.
mimi namuonea huruma sana Rob, rob alipenda sana chyna ...
Hata huyo Tyga ujue kupenda demu kama gigy money inataka moyo.

ni sawa na diamond labda ampende amba lulu ndio chyna na tyga[emoji22]

TECNO-C5 Wereva
 
Matangazo yao yanakuwaga hivi. How to get a Brazilian butt in seven days [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu unakuta mtu anafanya squats 4 kwa siku. Jaribu wewe sasa. Utalala na kuamka squats hauoni kitu.

Sent from my E5306 using JamiiForums mobile app
Unaambulia maumivu tu... No butt wala tako, watu washafanya surgery kudadadeck
 
Back
Top Bottom