Kimenuka tayari Mozambique, watu 18 wauawa

Vurugu baada ya uchaguzi nchini Msumbiji zimeibuka. Tayari watu 18 wameuawa.

Tuchukue tahadhari kwenye mipaka (Mtambaswala) yetu na hawa jamaa.

Mshindi wa Tume (FRELIMO) kajifungia ndani anasikilizia.

NB: internet imezimwa kama Tungekinya 2020
Mshindi wa Tume (FRELIMO) kajifungia ndani anasikilizia.😡😡😡
 
Magufuli hakushinda ule ulikuwa uchafuzi siyo uchaguzi. Ukweli tu unaufaham sema unaendeshwa na mihemko na mahaba.
 
Mag3 Magufuli hakushinda ule ulikuwa uchafuzi siyo uchaguzi. Ukweli tu unaufaham sema unaendeshwa na mihemko na mahaba.
Tatizo la watu kama Mayor Quimby ni moja tu...yuko katika kundi lile lile la wanaoamini wanajua kumbe hawajui kitu.

Kwa sababu hawana akili, busara wala hekima, wajanja huwatumia wenye mihemko kama jiwe kusafisha njia.
 
Tatizo la watu kama Mayor Quimby ni moja tu...yuko katika kundi lile lile la wanaoamini wanajua kumbe hawajui kitu.

Kwa sababu hawana akili, busara wala hekima, wajanja huwatumia wenye mihemko kama jiwe kusafisha njia.
Muulize Maxence Melo atakwambia naelewa mipaka yangu.

Ukiona hata huyo ‘bi-tozo’ sio kwamba sijui zaidi. Na wasaidizi wake

Hao watu ni kuwanga juu-juu tu usifanye unawajua watakuumiza, sasa sijasema nawajua.

Iła kumponda Magufuli kama hujui kinachoendelea Tanzania, na usaliti wa Lussu sijui usaidiwe vipi.

Rolę yangu niliyojipa ni kuponda jumla na wala siogopi ninaowaoponda hasa wale walio lelewq kuwa viongozi na wenye madaraka sasa.

Shida yangu ni wale waliokotwa na Magufuli na kupewa nafasi na Samia, ushamba unawasambua lakini sio wakunitosha.

Kwa kifupi najua mipaka yangu ya kuropoka kwa usalama wangu.

Shida yako wewe ni clueless na unatia huruma, hujui siada za Tanzania.
 
Kwann uzime internet kama sio utahira
 
Umeshibishwa propaganda za dictator Mwendazake
 
Umeshibishwa propaganda za dictator Mwendazake
Usiogope kuyaambia ukweli majizi na yenyewe yanajijua ni majizi. Ilimradi hayo majizi ni matoto yaliyo lelewa na CCM au yametoka familia bora.

Ogopa mijitu iliyotoka familia maskini na ghafla ikapewa nafasi kubwa, hawa ndio uwe tayari kupambana nao; ni watu wa kujihami sana.

Good Morning 👋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…