Kimenuka tayari Mozambique, watu 18 wauawa

Kimenuka tayari Mozambique, watu 18 wauawa

Vurugu baada ya uchaguzi nchini Msumbiji zimeibuka. Tayari watu 18 wameuawa.

Tuchukue tahadhari kwenye mipaka (Mtambaswala) yetu na hawa jamaa.

Mshindi wa Tume (FRELIMO) kajifungia ndani anasikilizia.

NB: internet imezimwa kama Tungekinya 2020
Mshindi wa Tume (FRELIMO) kajifungia ndani anasikilizia.😡😡😡
 
Tanganyika uchaguzi 2020 Magufuli alishinda ‘fair and square’. Sababu za kuzima internet labda ilikuwa kuzuia upotoshaji wa wahuni tu.

Shida labda iwe 2025, lakini usifananishe ushindi wa Magufuli wa haki na mambo ya siasa za hovyo kwengine kwenye bara.
Magufuli hakushinda ule ulikuwa uchafuzi siyo uchaguzi. Ukweli tu unaufaham sema unaendeshwa na mihemko na mahaba.
 
Mag3 Magufuli hakushinda ule ulikuwa uchafuzi siyo uchaguzi. Ukweli tu unaufaham sema unaendeshwa na mihemko na mahaba.
Tatizo la watu kama Mayor Quimby ni moja tu...yuko katika kundi lile lile la wanaoamini wanajua kumbe hawajui kitu.

Kwa sababu hawana akili, busara wala hekima, wajanja huwatumia wenye mihemko kama jiwe kusafisha njia.
 
Muulize Maxence Melo atakwambia naelewa mipaka yangu.

Ukiona hata huyo ‘bi-tozo’ sio kwamba sijui zaidi. Na wasaidizi wake

Hao watu ni kuwanga juu-juu tu usifanye unawajua watakuumiza, sasa sijasema nawajua.

Iła kumponda Magufuli kama hujui kinachoendelea Tanzania, na usaliti wa Lussu sijui usaidiwe vipi.

Rolę yangu niliyojipa ni kuponda jumla na wala siogopi ninaowaoponda hasa wale walio lelewq kuwa viongozi na wenye madaraka sasa.

Shida yangu ni wale waliokotwa na Magufuli na kupewa nafasi na Samia, ushamba unawasambua lakini sio wakunitosha.

Kwa kifupi najua mipaka yangu ya kuropoka kwa usalama wangu.

Shida yako wewe ni clueless na unatia huruma, hujui siada za Tanzania.
 
Tanganyika uchaguzi 2020 Magufuli alishinda ‘fair and square’. Sababu za kuzima internet labda ilikuwa kuzuia upotoshaji wa wahuni tu.

Shida labda iwe 2025, lakini usifananishe ushindi wa Magufuli wa haki na mambo ya siasa za hovyo kwengine kwenye bara.
Kwann uzime internet kama sio utahira
 
If you are in the know circle, you would have known.

Kwa mtu kama mimi mwenye maadui kila kona (wengine hata siwajui), majizi hayo-hayo ndio ulinzi wangu siku nikienda Tanzania. Kwakua najua yana nguvu-nijaribu na yenyewe yajibu, labda utumwe na Samia tu.

Ndio ujiongeze, mengine atuwezi sema yanawahusu watu tunaowategemea ulinzi wao tukifika Tanzania.

Naweza kukwambia GSM katuma kiasi gani kununua Magari gani la kwake na ls kuwapeleka watoto shule na wala sikosi usingizi. Iła kuna watu uwezi kuwaongelea kabisa.

Ni kukupa tu msamiati, hujui vita ya Magufuli. Hakuwa na vita ndogo kama unavyodhani in your pathetic little head
Umeshibishwa propaganda za dictator Mwendazake
 
Umeshibishwa propaganda za dictator Mwendazake
Usiogope kuyaambia ukweli majizi na yenyewe yanajijua ni majizi. Ilimradi hayo majizi ni matoto yaliyo lelewa na CCM au yametoka familia bora.

Ogopa mijitu iliyotoka familia maskini na ghafla ikapewa nafasi kubwa, hawa ndio uwe tayari kupambana nao; ni watu wa kujihami sana.

Good Morning 👋
 
Back
Top Bottom