Kimenuka tayari Mozambique, watu 18 wauawa

Kimenuka tayari Mozambique, watu 18 wauawa

Usiogope kuyaambia ukweli majizi na yenyewe yanajijua ni majizi. Ilimradi hayo majizi ni matoto yaliyo lelewa na CCM au yametoka familia bora.

Ogopa mijitu iliyotoka familia maskini na ghafla ikapewa nafasi kubwa, hawa ndio uwe tayari kupambana nao; ni watu wa kujihami sana.

Good Morning 👋
😂😂😂😂😂Haya bn
 
Dawa ya tawala dhalimu za kuingia madarakani kwa kuiba kura ndio hii ya kuziondoa madarakani kwa nguvu ya Umma
 
CCM msitake kuandikwa katika historia kwa kuharibu nchi. Muulizeni Mzee Mizengo Kayanda Peter Pinda waziri mstaafu aliyeongoza waangalizi wa kutoka nchi za SADC jinsi uchaguzi ulivyokwenda vizuri juzi huku chama dola kongwe cha Botswana kubwagwa katika uchaguzi bila kuharibu nchi.
Waiulize pia Msoga kuna mwaka ilikwenda West Africa ikajifunza jambo
 
Mkuu, ulikuwepo kwenye kuhesabu kura hadi kujua kuna mshindi wa tume na asiye wa tume?
Vyombo mbalimbali vya kimataifa na taarifa ya watazamaji wa kimataifa, wamesema wazi kuwa uchaguzi uliharibiwa wakati wa kujumlisha kura.

Hawa FRELIMO ni kama CCM.
 
Tanganyika uchaguzi 2020 Magufuli alishinda ‘fair and square’. Sababu za kuzima internet labda ilikuwa kuzuia upotoshaji wa wahuni tu.

Shida labda iwe 2025, lakini usifananishe ushindi wa Magufuli wa haki na mambo ya siasa za hovyo kwengine kwenye bara.
mimi namkubali JPM ila chaguzi kuanzia 2010 hadi 2020 zimekuwa za kihuni sn , wanaoipigia kura ccmu ni kwa ushawishi wa rushwa ya kodi zetu , wanakosa hela za kurekebisha mitaala ya elimu ila wana hela ya kumlipa Diamond akaperform kweny majukwaa ya kampeni
 
Vurugu baada ya uchaguzi nchini Msumbiji zimeibuka. Tayari watu 18 wameuawa.

Tuchukue tahadhari kwenye mipaka (Mtambaswala) yetu na hawa jamaa.

Mshindi wa Tume (FRELIMO) kajifungia ndani anasikilizia.

NB: internet imezimwa kama Tungekinya 2020
The last kick of the dying horse so called FRELIMO.
 
Tanganyika uchaguzi 2020 Magufuli alishinda ‘fair and square’. Sababu za kuzima internet labda ilikuwa kuzuia upotoshaji wa wahuni tu.

Shida labda iwe 2025, lakini usifananishe ushindi wa Magufuli wa haki na mambo ya siasa za hovyo kwengine kwenye bara.
Yule kichaa hakuna na tofauti na mwanafunzi mwenye akili sana ila kwenye paper anaingia na desa
 
Nchi ambazo zilianza na ukominist baada ya Uhuru huaga zina demokrasia bandia, haziamini katika uchaguzi huru, ni Zambia pekee yake ndio wameondoka na ujinga wa kulinda chama badala ya kuilinda nchi. Msumbiji is one of them, Tanzania ndio baba yao.
Ni vyema, ili wahanga wahusika waweze kujifunza.

Duniani kote kabisa uzoefu unaonyesha kwamba Tawala za Kikomunisti/Ujamaa huwa haziondoki madarakani kwa njia za kidemokrasia. Never! Mifano hai ipo mingi Sana, mathalani, kusambaratika kwa Shirikisho la Urusi ya zamani (USSR).

Mathalani:-
 

Attachments

  • Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    Screenshot_2024-07-16-21-00-20-1.png
    420.8 KB · Views: 1
Kupindua treni yenye kubeba watu 1500 na kusababisha vifo vya mamia ya watu na majeruhi kwa sababu tu ya kujaribu kumkwepa mtu mmoja aliyekaa kwa makusudi kwenye reli ni upumbavu na ujinga usiofaa popote duniani na mbinguni.
Busara ni kumgonga mtu mmoja na kuokoa wetu 1500.

Mwenye chair man wa Timu ya kuchagua akivuruga uchunguzi anatakiwa auawe yeye binafsi badala ya kusababisha maafa ya watu kwa sababu ya ukichaa wake. Haiwezekani apotezee watu muda wao halafu abaki akiwa anapeta tu na kuhongwa teuzi . Yaani anaikosea nchi na kuitumbukiza kwenye umwagaji wa damu halafu anahaki salama . Kumwacha mtu kama huyo ni dhambi kubwa sana kwa taifa.

Kama tatizo ni msimamizi wa uchunguzi basi ashughulikiwe yeye binafsi hata kwa kumwagiwa petroli na kuuawa harakaharaka umma upate raha na sio kuumiza umma kwa maslahi ya kipumbavu .

Ikifanyika hivyo wachafuzi wa uchunguzi wataufyata mkia milele . Kwa sasa mpaka wakimu wa skuli wanajipendeleza kwa kuvuruga uchunguzi . Kisa teuzi . Wanavuruga uchunguzi kisha wao wanapata vyeo . Huu ujinga hauta Isha. Kama ni makimu amevuruga jioni akirudi anakuta nyumba yake haipo imebaki majivu Meusi ardhini.

Kwa hiyo wanaMuzambiki wanaendeleza hali hiyo wao wenyenyewe kwa kufanya vurugu mitaani badala ya kuwatafuta kimya kimya waliovuruga uchunguzi na kumalizana nao mmoja baada ya mwingine .

Hasira ya umma usifanyiwe watu wasio na majibu bali waliovuruga wanene uovu wao na familia zao.

Luzambiki badilikeni. Tafutaeni mali zao hao wanafrelimo ,ofisi zao ,viongozi wao na walioharibu na kuvuruga uchunguzi huo ambao ni haki ya watu kisha mnawamwagia hata mafuta ya korosho kisha mnawachoma moto kabisa kabisa bila huruma.


Tanzania hatuna la kujifunza Msumbiji mana uchaguzi huku ni wa wazi na haki . Wananchi wanachagua wenyewe na kuipenda CCM wenyewe . Sasa kama wapinzani wenyewe wanagombania uwenyekiti watapata wapi sapoti ya umma ?

CCM bado ni chama bora ,jambo la msingi ni kutuletea mtu imara anayeweza kulinda rasilimali za umma na kutumbua majipu kwa manufaa ya umma.

Chadema kuna mgogoro mkubwa kati ya Watetezi wa wanyonge na watafuta fedha na mali na walinda mali kupitia siasa.
Chadema nguvu yake ni Wananchi ,wananchi wengi walihama kutoka CCM , NCCR Mageuzi ,UDP ,DP na TLP na kuifanya Chadema iwe kama ilivyo leo kwa sababu tu walimuunga mkono Mrema na Mtikila katika siasa za kupinga Rushwa na ufisadi. Walienda Chadema kwa sababu ya Dr. Slaa na sio Mbowe. Watangayika kwa wingi wao hawapendi siasa za wachache kupora mali za umma au za chama na kuzifanya binafsi. Mbowe abadilike na kujua kuwa Chadema imekua kwa sababu ya wanachama wa CCM,TLP,DP ,UDP na NCCR .
Ukiangalia sera za vyama hivyo ni sera za kuinua wanyonge na kupinga ufisadi unaojificha kwenye siasa na utawala.

Mbowe anakatisha wananchi tamaa sana . Amepigana chama kwa kiasi chake lakini wapo waliotoa uhai wao kupata wanachama wengi waliokuja na kadi za NCCR Mageuzi ,CCM na TLP.
Hawa wanachama ndani ya Chadema kutoka CCM , NCCR , TLP , UDP na DP siku wakiamchoka kabisa Mbowe na kuamua kuendelea kurudi kwenye vyama vyao vya awali bila shaka Chadema itabaki kama CHAUMA au CCK . Hata ACT nayo siku ilifanya ujinga wa kuwabagua waliotoka CUF basi mwisho wake utakua umekaribia.

Chadema uchaguzi wake wa mwisho ni 2025 kikiangukia pua kitakua kimepotea kabisa katika siasa Tanzania na wa kulaumiwa atakua ni Mbowe.
CCM kitaendelea kutawala kwa sababu ya kujua siasa za watanzania na namna ya kuwapa wananchi kile wanachokikosa kwa wakati huo. 2025 CCM nao wakichemka wataonja joto ya jiwe
Si ajabu hata uchaguzi wa mitaa TU mnaandikisha watoto. Punguzeni ujinga uliopitiliza.
 
Muulize Maxence Melo atakwambia naelewa mipaka yangu.

Ukiona hata huyo ‘bi-tozo’ sio kwamba sijui zaidi. Na wasaidizi wake

Hao watu ni kuwanga juu-juu tu usifanye unawajua watakuumiza, sasa sijasema nawajua.

Iła kumponda Magufuli kama hujui kinachoendelea Tanzania, na usaliti wa Lussu sijui usaidiwe vipi.

Rolę yangu niliyojipa ni kuponda jumla na wala siogopi ninaowaoponda hasa wale walio lelewq kuwa viongozi na wenye madaraka sasa.

Shida yangu ni wale waliokotwa na Magufuli na kupewa nafasi na Samia, ushamba unawasambua lakini sio wakunitosha.

Kwa kifupi najua mipaka yangu ya kuropoka kwa usalama wangu.

Shida yako wewe ni clueless na unatia huruma, hujui siada za Tanzania.
Unaogopa usalama wako.!? Si ajabu unatetea upumbavu kiasi hiki. Si ukae kimya TU, ya nini kuwaaminisha wengine ujinga ambao unajua kuwa utakuumiza ukiusema ukweli wake!?
 
FRELIMO CCM ZANU PF ni Vyama Mfu vinavyotegemea Dola kukaa Madarakani.
 
Iła kumponda Magufuli kama hujui kinachoendelea Tanzania, na usaliti wa Lussu sijui usaidiwe vipi.
Unaposema hujui asaidiwe vipi unamaanisha kitu gani?

Maana hata mimi hapo nahitaji msaada wa kufahamu usaliti wa Lissu ili nijiridhishe kama wewe ulivyoridhika, kwamba ilikuwa sahihi kutaka kumuuwa kwa usaliti wake.

Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa.
 
Walau unakubali hakukuwa na wakumshinda Magufuli 2020.

Kosa labda lilikuwa kwenye kuengua wapinzani kwa sababu za hovyo na kuacha wengine wapite bila ya kupingwa, hata hivyo CCM ingeshinda tu 2020.

Hakuwepo mtu wa kumshinda Magufuli 2020.

Mengine tunayo hadithiwa yanayoendelea Tanzania leo kuyasema ni kwamba labda ujitakii mema, binafsi sipendi kuyasikia for some reason najikuta nimeyajua; hiyo imekuwa ya hovyo sana.

..kuengua wapinzani ilikuwa ni hitimisho la mlolongo wa matukio mengi ya kinyama huko nyuma.

..mimi najiuliza lengo la Magufuli ilikuwa ni nini ktk kufanya unyama na ushenzi ule dhidi ya Watanzania wenzake?

..Siamini kama alikuwa na nia nzuri na nchi yetu, pamoja na kwamba alijenga miradi mikubwa ya kimkakati.

..Haiyumkini kiongozi afanye ukatili,aharibu uchaguzi na mifumo yake kwa kiwango alichofanya Magufuli, halafu awe na nia njema kwa nchi yake. Haijapata kutokea ktk nchi yoyote duniani.

..Magufuli alikuwa MUUAJI na kiongozi wa aina hiyo hafai mahali popote duniani.
 
Si ajabu hata uchaguzi wa mitaa TU mnaandikisha watoto. Punguzeni ujinga uliopitiliza.

Wewe ndio mpubavu na mavi kabisa.
Mtaani wetu wanafahamiana mnashinda kudhibiti uhuni mnakuja kulia lia Yutube .Mamaammaeee.

Mfano mna vijana mia mtaani na mnajua kabisa nyie ndio wengi kanatokea kamama Kamoja kanafanya uhuni mnakajua kwenye ofisi ya umma au ya kijiji au ya familia za vijana wa Frelimo mnakaangalia na kulia lia mtegemee huruma ya nani ?

Yaani tulipokuwa tunasema kuwa Mbowe ameshindwa chama siku nyingi akili yake imegota kabisa hamuani.?
Nani anayependa nyumba yake uchomwe moto ,nani anapenda ofisi yao ichomwe moto?

Nani atajitolea kupambania chama kama pesa zote zinaishia mikononi mwa Mbowe na marafiki zake?

Unamkumbuka yule mama wa Bawacha alidhalilishwa na kutukanwa kwenye mitandao kuwa ni malaya ?
Mama wa watu alisema kuwa ametekwa na kupigwa lakini hakuna kiongozi wa chama aliyehangaika kumtafutia wakili wala kufuatilia ishu yake kisa eti amefumaniwa! Kwani fumanizi kwenye nchi hii ni kosa linaloshughulikiwa kwa kujichukulia sheria mikononi?

Vijana wengi wanausezo wa kujitoa mhanga kudhibiti uhuni wote kokote hata katikati ya Vifaru vya kivita alimradi waone haki inatendeka na familia zao zinabaki salama lakini bado Mbowe anashindwa kutumia nguvu ya umma kwa kupeleka fedha kwenye mikono ya umma badala ya kukaa nazo yeye kama bepari.

Bepari kamwe haliwezi kuleta mabadiliko kwa wanyonge zaidi ya kuangalia maslahi ya kibepari.

Kwa Taarifa yako kati ya Samia na Lisu aliyetishio kwa Mabepari akiwemo Mbowe ni Lisu hivyo usitegemee mabadiliko kwa kumtegemea Mbowe. Sahau kabisa.
Kauli ya Askofu Shoo ni kauli pendwa ya Mbowe sio kauli ya bahati mbaya.
Mabepari siku zote fursa yao ni wanyonge kuteseka watauza mpaka maiti. Mabepari kila tatizo kwao ni fursa. Yaani watu wakiugua sana watauza sana dawa na kufungua maduka ya dawa. Watu wakifa sana watasafrisha sana maiti na majeneza na watajenga mochwari za kulipia .
Mafuta yakipanda bei na watu wakashindwa kununua mafuta wao watanunua mabasi kwa ajili ya kusafirisha abiria.
Bandari ikiuzwa watainunua.

Mtaji mkubwa wa Mabepari akiwemo Mbowe ni utawala legelege na wa kifisadi usioweza kudhibiti rushwa kubwa na matumizi ya serikali .
Kwa Afrika bado sana huwezi kuondoa ufisadi kwa kurembua . Ukitumia sheria kali kulinda mali za umma lazima Mabepari akiwemo Mbowe watalia kwa sauti ya mbwa koko.
Tuliwaambia mnasema eti tuna roho mbaya na wivu ila matokeo ya uovu wa Mabepari kufifisha maendeleo endelevu na demokrasi ya kweli.

Haiwezekani kujenga chama cha siasa kwa kumtegemea mtu mmoja mwenye pesa badala ya kujenga mfumo unaopatikana kwa nguvu ya umma wenyewe .

Tuliwaambia miaka mingi kuwa pesa za Ruzuku mjenge ofisi za chama kuanzia ngazi za msingi ,mkamwamini Mbowe na stori zake kuwa anajenga falsafa kwenye mioyo ya watu bila kujua kuwa wanachama wengi wa Chadema walitokea NCCR mageuzi na CCM na waliondoka kwa sababu moja tu ya Rushwa na ufisadi ndani ya serikali ya CCM. Sasa Mtu asiye na nia thabiti ya kupinga ufisadi kamwe hawezi kuingia kwenye mioyo ya watanganyika. Ndio maana Dr. SLAA alikua anaitisha maandamano na watu wanakwenda Mbele bila kuogopa risasi hata kuawa. Leo wetu ni waoga hata kutoka na kukimbia hawawezi ,wewe unaona ni jambo la kawaida eti watanzania ni waoga .!!!

Hakuna mtu muoga ,wafu wangekua waoga ufisadi usingekuwepo ?
Watu wanauana na kutoana makafara kwa sababu ya kutafuta pesa ,chama kisicho na mfumo wa kupeleka pesa kwa umma kamwe hakiwezi kuingia madarakani kwa nguvu ya umma.

Umma kuchoka utajitenga na siasa na sio kujitoa kuandamana kwa ajili ya wanasiasa wabinafsi.

Umma unaangalia nia thabiti ya kiongozi na walioko juu kisha unakua tayari kwa lolote.
Kama unabisha fuatilia uone jinsi watu wanavyoipenda yanga kwa sasa ,wako tayari hata kupoteza maisha alimradi timu yao isihujumiwe. Timu ikifanya vibaya hakuna mtu anajitoa kwa ajili ya timu hiyo . Kwa hiyo kama Chadema na viongozi wake wangekua wanarudisha nguvu ya chama kwa umma na kufanya kama umma unavyotaka kupambana na ufisadi leo huo huu ujinga wa watu wa dogo kabisa kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa usingekuwepo.

Mbowe alipaswa Aachie ngazi mara tu baada ya Lowasa kukosa urais lakini badala yake amekua aliwatumia vijana wake kumtukana Dr.Slaa na Wale waliokimbilia CCM .

Mbowe akishupaza shingo basi chama kitapoteza kabisa kwa sababu wananchi hawana imani na Chadema chini ya Mbowe na Serikali ya CCM chini ya Dr.Samia.


Huisheni chama kwa kuweka sura mpya kabla ya uchaguzi mkuu . Mnasema Mbowe atawavusha wakati mnapoteza kwa figisu kila kukicha na hamna watu wa kupambana na wizi na figisu mpaka seikali za mitaa. Sasa huo ukubwa wa chama uko wapi ?

Tulitegemea magereza yote yajae vijana wa Chadema kwa Malaki lakini Wanaovuruga uchaguzi wawe wametiwa adabu . Na baada ya uchaguzi CCM wangeomba poo na 2025 uchaguzi ungekua wa huru zaidi na nuru ingekua inaanza kuonekana.

Hivi magereza yanaweza kuwatosha vijana mil. moja kwa muda mfupi?

Wakati huo huo CCM ingekua inaelekezwa kibla kabla ya 2025 hivyo hata wangekua na kesi ngapi wangetoka miaka michache ijayo na Chadema ingekua madarakani na familia nyingi kulipwa fidia na waliosababisha mateso wangekwenda gerezani.

Nani anafifisha harakati za kweli za Chadema kushika dola kama sio mbowe kwa kupenda umaarufu peke yake . Lisu alianza vizuri na Msigwa kufanya mikutano ,Genge la Mbowe likaona wivu kuwa hawa wawili wanaagenda ya kuchukua kiti ,matokeo yake Lisu akazuiwa kuendelea na mikutano . Msigwa kwa hasira akakimbila CCM.
 
Kama watuliza maandamano wanatumia silaha za moto basi waandamanaji na wao wabebe zao za moto
 
Back
Top Bottom