KWETU PAZURI
Senior Member
- Oct 14, 2011
- 157
- 26
hivi matakataka kama haya huwa yanatokea upande gani wa hii tanzania yetu jaman?
huko unakotolea haja kubwa yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi matakataka kama haya huwa yanatokea upande gani wa hii tanzania yetu jaman?
Mara ya kwanza tulipogoma, waliongeza pesa ikawa 7500, mara ya pili tumegoma wakaongeza mkopo kwa watu 104 wa mwaka wa kwanza. Juzi tumegoma, then wametuwekea boom, hivi hii serikali inataka nini? Inafikiri sisi tunaona raha kugoma tu? Mbona inatupelekesha? Huu ni upuuzi.
wewe ambeye ukukwepa masomo mpaka leo umefanya nini??
Hawa watoto wa karne hii ni janga la kitaifa. Kila siku wanaandama, ili kukwepa masomo.