Kimetulamba kwenye written interview

Kimetulamba kwenye written interview

🤣🤣🤣🤣no vipanga nikukariri tu
Kishawalamba Huko chupi chini.
Afiya afiyaaa afiyaaa chuma Yao njooni Huku tuchome mihogo na mahindi tuchangie Kodi nchii hii bi chura apate nauri ya kuzurura duniani huko ondoeni mind za kuila nchi waliopo kwenye system wanatosha mana wanakula kama lung'wawa
 
Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..

Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.

Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.

Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa

Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..

My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Huku vyuoni janjajanja nyingi dawa yake wanarudi 'O' level wanajua kule kanjanja hatoboi watapata cream. Watandika mikeka wote kuulee, vyeti feki kuulee
 
Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..

Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.

Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.

Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa

Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..

My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Umekutana na mzee wa jambia
 
Pole sana Nyamwi255 God will pave the way
 
Back
Top Bottom