Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kuna sababu wachezaji wakiwa na mechi siku tatu kabla ya mechi hawafanyi mapenzi. Sasa wewe siku moja kabla ya interview umetoka kutiwa duuh!Na alinipa mibaraka yote Leo...+ Morning groly 😄....upo daudi😂
Tukutane lindiIla mm kwa paper lile natoboa 😊 inshallah
kutesana tu😂😂Sasa kam written mmepoteana ,Oral si itakua vituko maan unaweza ulizwa spirit ina rangi gani ,ukaropoka Kijani....
Kishawalamba Huko chupi chini.🤣🤣🤣🤣no vipanga nikukariri tu
Huku vyuoni janjajanja nyingi dawa yake wanarudi 'O' level wanajua kule kanjanja hatoboi watapata cream. Watandika mikeka wote kuulee, vyeti feki kuuleeEbwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..
Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.
Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.
Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa
Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..
My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Tena wamezingua chapa maswali ya form 1 Pepa loteHuku vyuoni janjajanja nyingi dawa yake wanarudi 'O' level wanajua kule kanjanja hatoboi watapata cream. Watandika mikeka wote kuulee, vyeti feki kuulee
Umekutana na mzee wa jambiaEbwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..
Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.
Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.
Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa
Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..
My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Kabisa. Uwachape hawa madogo hata logarithms tu wanatema bungo. Na hivi kuna AI washaacha kusoma kabisaTena wamezingua chapa maswali ya form 1 Pepa lote
Shukrani sana na hakika Mungu ni mwema wakati woteHongera sanaaa
Pole sana Nyamwi255 God will pave the wayEbwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!