Kimetulamba kwenye written interview

Ungejibu kwa mtindo wa ana ana doo..! huujui huo..??
 
🤣🤣🤣
Sometimes mambo ya interview yanakuwaga jau sana nakumbuka kitambo sana before 2010 kuna ofisi niliitwa kwenye interview kufika pale naambiwa ni print document ambayo ilikuwa ndio CV yangu. Maana position iliyokuwepo ile ofisi ni ya Documents organizer. Kama bahati tu wiki moja jamaa alishawahi kuizungumzia aina ya hilo swali.
Picha linaanza printer iko disconnected nika connect na kuiwasha bado haiprint kuangalia kwenye Control panel haijawa installed nikaomba software ya driver baada ya hapo nikaambiwa endelea na kazi, kazi hata sikufanya ile ofisi
 
Najuua.najua haswaaa ila we maswali hujayaona unaongea tu kule niku Kukomoana....kwann yasinge base kwenye taalum yangu...
 
😂😂😂😂muda wote anamuwaza raraa reree atatoboa kweli
 
Hahahaha
 
Mama weee Pole kipenzi sisi sijui itakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…