Yesu wanguASante sweetheart lolote litakalo tokea ntakubaliana nalo..
Kila Dume humu ni my love wako utapigwa Mimba usimjue Baba wa mtotoJamaniii my love😂😍😍
Unaona michezo hii ndio unaipenda
Umeanza lini kufanya hivyo?Mmwaaaa😘😘
Hahahaha
Unanirudisha kwenye Mada nimekuuliza unashindwa Vipi maswali ya fom 2?Jikite kwenye mada mkuu...
Inakuaje mhudumu wa afya asijue Kukokotoa V.A kweli!? Waache kukariri, wajue vituKwani kidato cha tatu hukusoma hayo mambo ya volumetric analysis?