kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
hivi ndio written za utumishu huwa hivo?Ndio ukubwa huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi ndio written za utumishu huwa hivo?Ndio ukubwa huo
Pole sanaEbwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..
Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani
waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya...
Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi
WA form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote...
Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁
Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa
Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah
Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..
My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi...
Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Subiri Mwamposa atangaze mkesha ucjalNataka nikeshe na wewe Leo sweetheart 😊...
poleEbwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..
Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani
waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya...
Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi
WA form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote...
Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁
Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa
Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah
Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..
My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi...
Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Kilimo kinalipaHahahaha pacha banaaa...
niko gud mm zam yangu bdoASante unaendeleaje wewe...