Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko wap?Njoo unifate darling...😊
Be careful.Uko wap?
Hujaelewa nakwambia hivi... Tumetolewa maswali nje ya taaluma yetu...zingatia neno "taaluma"Kwahyo mlikua mnakariri tu olevel
Asante Mungu ile paper kwangu ilikuwa nyepesiEbwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..
Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani
waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya...
Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi
WA form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote...
Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁
Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa
Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah
Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..
My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi...
Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Usaili zote hua za motohivi ndio written za utumishu huwa hivo?
Poleni ....Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..
Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani
waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya...
Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja la afya 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi
WA form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote...
Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁
Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa
Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah
Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..
My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi...
Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Alikuwa anawaza dyudyu tuu kwenye chumba cha usaili 🔥🔥🔥Uyu si kaolewa juzi tu..mda wa kusoma hana
Sio kweli bhana unatak kusema mmesoma HKL then mpewe Pepa la PHYSICS?Hujaelewa nakwambia hivi... Tumetolewa maswali nje ya taaluma yetu...zingatia neno "taaluma"
Yani tumeletewa mambo tulowahi kusoma ila nje ya taaluma yetu!
Kama ni hivo basi wangetuletea ku trace maana pia tulisoma nursery...umenielewa chief..?