Kimetulamba kwenye written interview

Kimetulamba kwenye written interview

Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..

Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.

Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity,vernial calliper Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja linalihusu taaluma yetu ya medical lab 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.

Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa

Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..

My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Umaskini ni ugonjwa mbaya sana
 
We nae unakuwa huelewi ule usaili ulikuwa wa medical lab technician sio wa mwalimu Wa kemia /physics
Kumbuka kwanini nitolewe maswali nje ya taaluma yangu?.
Kwani kwenye huko kuganga hamtumii Taaluma ya kemia?
 
Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..

Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.

Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity,vernial calliper Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja linalihusu taaluma yetu ya medical lab 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.

Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa

Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..

My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Hayo ndo mambo ya Aptitude test ya Online Kubabake Yani hyo mitihani mnayofanya Sasa hivi Bora ya Zamani ya Kuandika maana hii ni zaidi ya Kuvuna makapi na nafaka🤣🤣
 
Kumbe inawezekana ukapita interview zote na bado usipangiwe kituo cha kazi???
Screenshot_2024-09-08-06-10-28-165_com.instagram.android~2.jpg
 
Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..

Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.

Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity,vernial calliper Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja linalihusu taaluma yetu ya medical lab 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.

Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa

Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..

My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Umesema maswali ya form 3&4 kwani si ulisoma.nakufaulu hivyo vidato au ulikua kilaza ukapata credit.

Anyway poleni kwa yalowakuta unadhani mchujo lengo lake mfaulu wote,hapo kuna wadau watapiga hadi 90% ndio itajua dunia haina huruma.
 
Utumishi wako hivo mara zote na ukiona mtu kafaulu basi walitoa aliposoma ila wakitoa ambapo hujapitia basi kimekuramba
 
Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah!
Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo..

Picha lenyewe Sasa....👇
Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za viwandani😂 yani hamna hata swali Moja la afya.

Yani wametuletea ma volumetric analysis, ma elasticity,vernial calliper Yale ya O-level...yani .zile practical za form 4 ndo tumeletewa hamna swali Moja linalihusu taaluma yetu ya medical lab 🥺ule Mtihani kwa mwanafunzi wa form 3&4 alokwiva vizuri anapata yote.

Halafu Mtihani ni multiple choice na dk 40 yani Kila jibu unaliona sawa 😁 Licha ya kubanana ila Ukisema upige Chabo kwa mwenzako kimekulamba unaangalizia nini uongo au maana Kila mtu amestaajabu tu anakuna kichwa

Na wasimamizi hawakuwa na muda wa ku tu supervise yani...limetushuka balaah. Baada ya kutoka nkamuuliza rafiki yangu wa pharmacy akanambia nao ndo vile vile hawwjatolewa swali Moja la afya..

My take...hayo maswali tuloletewa ingebidi waletewe walimu wa sayansi kwa hili tumeonewa au basi wangetuchanganyia ila sio kutufanyia hivi. Kama ni lengo ni kutupunguza basii limetiki haswaaa😒
Itakuwa Serikali imebaini tatizo la wataalamu wa maabara kuchakachua vipimo, imeanza kupima uelewa na sio kukariri. Kuna wengine hata reagents wanachanganya vitu sivyo.
 
Back
Top Bottom