Kimeumana baina ya Simba na Inonga

Kimeumana baina ya Simba na Inonga

Huyo bwege dawa yake Simba wamshitaki FIFA kwa kuingia mkataba wa awali na timu nyingine ilhali bado ana mwaka mzima Simba. Hawa wacongomani wanajifanya vichwa maji sana
 
Attachments

  • FB_IMG_1716548513009.jpg
    FB_IMG_1716548513009.jpg
    46.8 KB · Views: 2
INONGA: MKATABA WANGU UNAISHA 2024 NA SIO 2025 KAMA INAVYODAIWA

"Mimi siujui huo mkataba wanaousema wao mimi navyofahamu ni kwamba Mkataba wangu unamalizika msimu huu na hivyo ndivyo ilivyo, hili jambo lipo kwa Wanasheria wangu kwa sasa nipo Ufaransa kwa Mapumziko." - Henock Inonga Bakah

#FutbalPlanetUpdatesView attachment 2998084
Huyu mchezaji mambo yalibadilika nikashindwa kumuamini Toka Ile siku utoporo watupige 5 nikawaambia kwenye group lkn watu waliishia kunishambulia ikaja mechi ya Al ahly Kwa mkapa alichoma kirahis Sana nikasema watu wakasema lile ni kosa la zimbwe nikasema pengne Mimi nitakuwa naangalia Mpira vibaya ila nikajiuliza beki wa mwisho unaweza vp kutaka control mpira kuelekea goli kwako??? Au best option pale ni kubutua mbele.
Goli la pili la mbangula dhid ya prison beki uko na mtu halaf unashindwa kufika mguun ana control mpira wewe unajiangusha ety umeumia hyo kweli mwamba alivyotoka Afcon Kama alikuwa hataki Tena Simba kwao kacheza budgej kichwani timu ya Taifa hapa kaguswa kidogo tu hawezi kuendelea nikasema ngoja tuone
 
Ndo mumuachie sasa
 
Back
Top Bottom