Kimeumana! Gambo amshukia kama mwewe mkurugenzi wa jiji la Arusha

tena tulivyo na hasira naye huyu gambo, tutamchukulia fomu MKURUGENZI japo hajasema nia, mbaaaafu kabisa hiki kitoto cha ilala huko dar kinasumbua watu hapa
 
tena tulivyo na hasira naye huyu gambo, tutamchukulia fomu MKURUGENZI japo hajasema nia, mbaaaafu kabisa hiki kitoto cha ilala huko dar kinasumbua watu hapa
Mtu yeyote atakayesimama against huyu Gambo nitamchangia
 
Wewe gambo mheshimu huyo Pima kwani alikutangaza Kama mshindi wa ubunge jimbo la Arusha mjini wakati ulikuwa haujashinda.
Kila MTU anajua hilo
 
Kama Gambo ni mwadilifu angeonyesha uadilifu wake kwa kuwakemea wakurugenzi kwa kuwatangaza CCM wote washindi kwa kupitia kura fake na ajiuzuru ubunge wake kwa kuwa hakupata kihalali.
 
What goes around comes around. You are a good leader so to speak, but remember, you now harvest what you planted upon your predecessor,Mr Lema.

"What you sow is what you receive in return" It is simply called,the law of reciprocity.

I am very sorry for you. However I gonna pray for you!!
 
Huyu mpumbavu alimzinguaga sana Lema wacha nae apate Karma yake. Blaaaalifaken
 
Wale wa miaka ya 90 hii tunaita " uzamiaji" si alizamia pia uwekaji wa jiwe la msingi hospital ya mama na mtoto enzi ya lema akaharibu pia?
 
Laana ya kumdhalilisha Rais ,Magufuli ambaye alimpa ukuu wa mkoa na pia ubunge imeanza kuonekana. Huyu Gambo hatabaki salama .Ni mpuuzi Fulani.Nafikiri akapimwe akili.
acha adhalilike,aliwapa ubunge kwa hila na dhulma. kabla ya hapo Magu aliteua hawa wahuni ili kuiua Chadema Arusha
 
Balancing of stories

Je Pima alipewa fursa ya kujibu mapigo!!?
 
Eti kachaguliwa na wananchi! Wananchi gani hao anaowazungumzia? Sasa dawa yake huyo mkurugenzi abakishwe hapo hadi 2025 asimamie uchaguzi mkuu halafu hao wananchi wamchague tena.
Strong fact πŸ€£πŸ˜†πŸ˜‚πŸ€ŒπŸ€ŒπŸ€πŸ€πŸ‘πŸ‘
 
Nawaona
Halaiki wameinamisha vichwa ikiashiria kuna jambo halipo sawa

Mkurugenzi anakula matapishi yake ya 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…