Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viti Maalum...🤣🤣Huyo ndiye Komredi Mrisho Gambo.....
Labda Dr.Pima hamjui vizuri El Comandante Gambo.....
Aulizie nguvu zake kipindi kile cha CCM STAMINAZ ya kina Komredi James Ole Millya na komredi Ally Bananga Mwatiga.....
Dr.Pima akaziulizie nguvu za Komredi Gambo kwa mama yetu Komredi Mary Chatanda.......
My take:
MBUNGE ana haki ya kualikwa katika miradi ya MAENDELEO...Awe wa CCM ama upinzani....Wabunge ndio wanaotunga sheria zetu.....
#SisiNiWamojaChiniYaChifuMkuuHangaya
#NchiKwanzaKablaYaMaslahiYetuNaNafsiZetu
SIEMPRE CCM
Kweli kabisa Bwana Mongella, ni ukweli usiofahamika na wengi kuwa mameneja katika taasisi nyingi wakielewana sana, maendeleo huwa hayaji. Wakishaelewana wanapanga njama za kupiga tu, ila wakitofautina wanaogopana na kazi zinaenda sawa.Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo amemchukia vikali Mkurugenzi wa jiji la Arusha,Dr John Pima kwa kumweleza wazi kwamba mkakati wake wa kumdhoofisha ili wananchi wa Jimbo hilo wamchukie hatafanikiwa kwani yeye ametokana na changuo la wananchi.
Akiongea katika mkutano wa hadhara katika zoezi la utoaji wa mikopo ya asilimia 10 ya halmashauri ya jiji la Arusha Kwa vikundi vya ujasiriamani lililofanyika katika viwanja vya Kilombero ,Gambo alikerwa na mpango wa mkurugenzi huyo wa kutaka Mbunge huyo asialikwe katika zoezi hilo.
Gambo aliibuka ghafla katika hafla hiyo na baadaye kupata fursa ya kuongea ambapo alimchana Bila kupepesa macho mkurugenzi Pima , yaakimwambia kwamba yeye amechaguliwa na mtu mmoja na kwamba muda wowote anaweza kung'olewa.
"Kati yetu sisi tuliopo hapa mimi nimechaguliwa na wananchi baada ya kuniona nafaaa kuwawakilisha wakifuatiwa na madiwani tofauti na hapo wewe mkurugenzi umeteuliwa tu na mtu mmoja, mkuu wa mkoa mshauri mkurugenzi awe mtulivu hawezi kumkataa mbunge"alisema Gambo na kuongeza kuwa.
Wakati nachaguliwa na wananchi Pima alikuwa amelala ofisini lazima.atambue kwamba tulipata kura Kwa shida kulizunguka jimbo la Arusha sio kazi rahisi mwambie amheshimu mbunge.
Gambo alikerwa na mkakati wa Pima kutomwalika kwenye shughuli hiyo ya utoaji wa mikopo Kwa vikundi vya ujasiriamani.
Hata hivyo Gambo alimwaibisha Mkurugenzi huyo baada ya kuamua kutoa fedha zake kuwakopesa bila riba baadhi ya wananchi waliotoswa kupokea mkopo wa jiji la Arusha na kuahidi kuanza kutoa mkopo wa sh, 200,000 Kwa kila mtu aliyeko kwenye kikundi chenye watu 100 kuanzia Sasa.
Hata hivyo RC John Mongela alisema kuwa nikiwapatanisha maendeleo hayatakuja Bora msipatane ili maendeleo yapatikane.
Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo amemchukia vikali Mkurugenzi wa jiji la Arusha,Dr John Pima kwa kumweleza wazi kwamba mkakati wake wa kumdhoofisha ili wananchi wa Jimbo hilo wamchukie hatafanikiwa kwani yeye ametokana na changuo la wananchi.
Akiongea katika mkutano wa hadhara katika zoezi la utoaji wa mikopo ya asilimia 10 ya halmashauri ya jiji la Arusha Kwa vikundi vya ujasiriamani lililofanyika katika viwanja vya Kilombero ,Gambo alikerwa na mpango wa mkurugenzi huyo wa kutaka Mbunge huyo asialikwe katika zoezi hilo.
Gambo aliibuka ghafla katika hafla hiyo na baadaye kupata fursa ya kuongea ambapo alimchana Bila kupepesa macho mkurugenzi Pima , yaakimwambia kwamba yeye amechaguliwa na mtu mmoja na kwamba muda wowote anaweza kung'olewa.
"Kati yetu sisi tuliopo hapa mimi nimechaguliwa na wananchi baada ya kuniona nafaaa kuwawakilisha wakifuatiwa na madiwani tofauti na hapo wewe mkurugenzi umeteuliwa tu na mtu mmoja, mkuu wa mkoa mshauri mkurugenzi awe mtulivu hawezi kumkataa mbunge"alisema Gambo na kuongeza kuwa.
Wakati nachaguliwa na wananchi Pima alikuwa amelala ofisini lazima.atambue kwamba tulipata kura Kwa shida kulizunguka jimbo la Arusha sio kazi rahisi mwambie amheshimu mbunge.
Gambo alikerwa na mkakati wa Pima kutomwalika kwenye shughuli hiyo ya utoaji wa mikopo Kwa vikundi vya ujasiriamani.
Hata hivyo Gambo alimwaibisha Mkurugenzi huyo baada ya kuamua kutoa fedha zake kuwakopesa bila riba baadhi ya wananchi waliotoswa kupokea mkopo wa jiji la Arusha na kuahidi kuanza kutoa mkopo wa sh, 200,000 Kwa kila mtu aliyeko kwenye kikundi chenye watu 100 kuanzia Sasa.
Hata hivyo RC John Mongela alisema kuwa nikiwapatanisha maendeleo hayatakuja Bora msipatane ili maendeleo yapatikane.
What goes around comes aroundMbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo amemchukia vikali Mkurugenzi wa jiji la Arusha,Dr John Pima kwa kumweleza wazi kwamba mkakati wake wa kumdhoofisha ili wananchi wa Jimbo hilo wamchukie hatafanikiwa kwani yeye ametokana na changuo la wananchi.
Akiongea katika mkutano wa hadhara katika zoezi la utoaji wa mikopo ya asilimia 10 ya halmashauri ya jiji la Arusha Kwa vikundi vya ujasiriamani lililofanyika katika viwanja vya Kilombero ,Gambo alikerwa na mpango wa mkurugenzi huyo wa kutaka Mbunge huyo asialikwe katika zoezi hilo.
Gambo aliibuka ghafla katika hafla hiyo na baadaye kupata fursa ya kuongea ambapo alimchana Bila kupepesa macho mkurugenzi Pima , yaakimwambia kwamba yeye amechaguliwa na mtu mmoja na kwamba muda wowote anaweza kung'olewa.
"Kati yetu sisi tuliopo hapa mimi nimechaguliwa na wananchi baada ya kuniona nafaaa kuwawakilisha wakifuatiwa na madiwani tofauti na hapo wewe mkurugenzi umeteuliwa tu na mtu mmoja, mkuu wa mkoa mshauri mkurugenzi awe mtulivu hawezi kumkataa mbunge"alisema Gambo na kuongeza kuwa.
Wakati nachaguliwa na wananchi Pima alikuwa amelala ofisini lazima.atambue kwamba tulipata kura Kwa shida kulizunguka jimbo la Arusha sio kazi rahisi mwambie amheshimu mbunge.
Gambo alikerwa na mkakati wa Pima kutomwalika kwenye shughuli hiyo ya utoaji wa mikopo Kwa vikundi vya ujasiriamani.
Hata hivyo Gambo alimwaibisha Mkurugenzi huyo baada ya kuamua kutoa fedha zake kuwakopesa bila riba baadhi ya wananchi waliotoswa kupokea mkopo wa jiji la Arusha na kuahidi kuanza kutoa mkopo wa sh, 200,000 Kwa kila mtu aliyeko kwenye kikundi chenye watu 100 kuanzia Sasa.
Hata hivyo RC John Mongela alisema kuwa nikiwapatanisha maendeleo hayatakuja Bora msipatane ili maendeleo yapatikane.
Hivi ni Gambo huyu huyu aliyekuwa akimnyanyasa God bless Lema, kwani wakati huo yeye hakujua kwamba Lema ni mbunge kachaguliwa na wananchi?! Ama kweli siasa si hasa!Kwani mbunge alipokuwa Lema, Gambo ilikuwaje?
Nani amemsahau mbunge huyu wa jiwe akiwa RC?
Gambo hafai kuwa kiongozi wa Aina yeyote ana kiburi Sana.Gambo alichaguliwa na mwananghi gani? Kama sio figisu angemshinda Lema? Mwambieni akae kwa kutu
Gambo hafai kuwa kiongozi wa Aina yeyote ana kiburi Sana.
Alivyokuwa DC Arusha mjini alivyokuwa anamfanyia Tibenda.hayakuwa na utu.
Malipo hapahapa duniani.
Hivi ni kweli Gambo hajui kwamba hata yeye huo Ubunge aliwekwa hapo na mtu mmoja yule mwendakuzimu?Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo amemchukia vikali Mkurugenzi wa jiji la Arusha,Dr John Pima kwa kumweleza wazi kwamba mkakati wake wa kumdhoofisha ili wananchi wa Jimbo hilo wamchukie hatafanikiwa kwani yeye ametokana na changuo la wananchi.
Akiongea katika mkutano wa hadhara katika zoezi la utoaji wa mikopo ya asilimia 10 ya halmashauri ya jiji la Arusha Kwa vikundi vya ujasiriamani lililofanyika katika viwanja vya Kilombero ,Gambo alikerwa na mpango wa mkurugenzi huyo wa kutaka Mbunge huyo asialikwe katika zoezi hilo.
Gambo aliibuka ghafla katika hafla hiyo na baadaye kupata fursa ya kuongea ambapo alimchana Bila kupepesa macho mkurugenzi Pima , yaakimwambia kwamba yeye amechaguliwa na mtu mmoja na kwamba muda wowote anaweza kung'olewa.
"Kati yetu sisi tuliopo hapa mimi nimechaguliwa na wananchi baada ya kuniona nafaaa kuwawakilisha wakifuatiwa na madiwani tofauti na hapo wewe mkurugenzi umeteuliwa tu na mtu mmoja, mkuu wa mkoa mshauri mkurugenzi awe mtulivu hawezi kumkataa mbunge"alisema Gambo na kuongeza kuwa.
Wakati nachaguliwa na wananchi Pima alikuwa amelala ofisini lazima.atambue kwamba tulipata kura Kwa shida kulizunguka jimbo la Arusha sio kazi rahisi mwambie amheshimu mbunge.
Gambo alikerwa na mkakati wa Pima kutomwalika kwenye shughuli hiyo ya utoaji wa mikopo Kwa vikundi vya ujasiriamani.
Hata hivyo Gambo alimwaibisha Mkurugenzi huyo baada ya kuamua kutoa fedha zake kuwakopesa bila riba baadhi ya wananchi waliotoswa kupokea mkopo wa jiji la Arusha na kuahidi kuanza kutoa mkopo wa sh, 200,000 Kwa kila mtu aliyeko kwenye kikundi chenye watu 100 kuanzia Sasa.
Hata hivyo RC John Mongela alisema kuwa nikiwapatanisha maendeleo hayatakuja Bora msipatane ili maendeleo yapatikane.
Gambo mshindiMbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo amemchukia vikali Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Dr John Pima kwa kumweleza wazi kwamba mkakati wake wa kumdhoofisha ili wananchi wa Jimbo hilo wamchukie hatafanikiwa kwani yeye ametokana na changuo la wananchi.