Kimeumana! Gambo amshukia kama mwewe mkurugenzi wa jiji la Arusha

Gambo ni mzee wa mabifu:
Alianzia Korogwe- Degree za chupi

Akaja kwa Lema

Akaenda kwa Mkurugenzi

Akaenda kwa DC yule TISS wa kimbulu

Akaenda kwa Mwendazake

Sasa hivi karudi kwa Mkurugenzi
 
Kwahio Gambo alitumia muda wa Mkutano huo kumshukia Mkurugenzi ?

Si hayo angeyafanya baadae na kutumia Mkutano huo kufanya kilichopangwa kifanyike
 
Viti Maalum...
 
Kweli kabisa Bwana Mongella, ni ukweli usiofahamika na wengi kuwa mameneja katika taasisi nyingi wakielewana sana, maendeleo huwa hayaji. Wakishaelewana wanapanga njama za kupiga tu, ila wakitofautina wanaogopana na kazi zinaenda sawa.
 

Kwa Lema ilikuwa sawa lakini yeye akiguswa nongwa.
 
Isitoshe Gambo hakushinda uchaguzi kura ziliporwa hadi ilisikitisha.

Gambo na Askofu Rashid hawana tofauti.
 
What goes around comes around
 
I think Pima ni mwalimu wa Gambo pale njiro
 
Kwani mbunge alipokuwa Lema, Gambo ilikuwaje?

Nani amemsahau mbunge huyu wa jiwe akiwa RC?
Hivi ni Gambo huyu huyu aliyekuwa akimnyanyasa God bless Lema, kwani wakati huo yeye hakujua kwamba Lema ni mbunge kachaguliwa na wananchi?! Ama kweli siasa si hasa!
 
Gambo alichaguliwa na mwananghi gani? Kama sio figisu angemshinda Lema? Mwambieni akae kwa kutu
Gambo hafai kuwa kiongozi wa Aina yeyote ana kiburi Sana.
Alivyokuwa DC Arusha mjini alivyokuwa anamfanyia Tibenda.hayakuwa na utu.
Malipo hapahapa duniani.
 
Gambo hafai kuwa kiongozi wa Aina yeyote ana kiburi Sana.
Alivyokuwa DC Arusha mjini alivyokuwa anamfanyia Tibenda.hayakuwa na utu.
Malipo hapahapa duniani.

Hayo ndiyo yalikuwa majembe ya mwendazake:

Gambo, Sabaya, Makonda, bashiri, pole pole bila kumsahau huyo mwamba hapo, mjumbe wetu Madagascar:

 
Hivi ni kweli Gambo hajui kwamba hata yeye huo Ubunge aliwekwa hapo na mtu mmoja yule mwendakuzimu?
 
Gambo huu unaweza kuwa msimu wake wa mwisho bungeni. Ajue CCM inaweza kumuondoa kirahisi sana kulivyo anavyodhani.

Anapenda sana kukwaza watendaji wengine na hiyo itamuondolea kama haijamuondolea heshima.
 
Gambo acha kelele, umesahau uliyokuwa ukimfanyia Lema?! What goes around comes around na omba huyo DED asifike October 2025.
 
Gambo mshindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…