Kimeumana Kenya yafungiwa na FIFA. kujihusisha na vitendo vya soka

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Fifa yaipiga marufuku Kenya kutoshiriki katika vitendo vyote vya soka

Shirikisho la kandanda duniani, Fifa, Alhamisi limeipiga marufuku Kenya kushiriki shughuli zote za kimataifa kutokana na hatua ya serikali kuingilia masuala yake.

Rais wa Fifa Gianni Infantino alithibitisha kusimamishwa kwa muda kwa shughuli zote za soka wakati wa Mkutano wa Wanahabari wa Baraza la Fifa.

"Bila ya kuathiri uchunguzi wowote wa mamlaka ya kitaifa au vyombo vingine vya mahakama, Baraza la Fifa pia liliamua kusimamisha Shirikisho la Soka la Kenya na Chama cha Soka cha Zimbabwe mara moja kutokana na kuingiliwa isivyofaa na serikali ," Infantino alisema.


 
Unaongea upuuzi na tulikuwa ranked juu yenu?
Pia mnakuwanga na viwanja vya mpira huko? Mko na national league ambayo inakuwa televised?

Sikujua kama Kuna soka huko asee.. Najua nyie watu wa kukimbia kimbia tu. Mko na vyama vingapi vya soka huko vinavyoendesha ligi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…