Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Nadhani Kenya League Yao ndio ya Kwanza Kuwa Televised SuperSport (Dstv-Multchoise)Pia mnakuwanga na viwanja vya mpira huko? Mko na national league ambayo inakuwa televised?
Sikujua kama Kuna soka huko asee.. Najua nyie watu wa kukimbia kimbia tu. Mko na vyama vingapi vya soka huko vinavyoendesha ligi?
Sent using Jamii Forums mobile app