Kimeumana Kenya yafungiwa na FIFA. kujihusisha na vitendo vya soka

Pia mnakuwanga na viwanja vya mpira huko? Mko na national league ambayo inakuwa televised?

Sikujua kama Kuna soka huko asee.. Najua nyie watu wa kukimbia kimbia tu. Mko na vyama vingapi vya soka huko vinavyoendesha ligi?
Nadhani Kenya League Yao ndio ya Kwanza Kuwa Televised SuperSport (Dstv-Multchoise)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia mnakuwanga na viwanja vya mpira huko? Mko na national league ambayo inakuwa televised?

Sikujua kama Kuna soka huko asee.. Najua nyie watu wa kukimbia kimbia tu. Mko na vyama vingapi vya soka huko vinavyoendesha ligi?
Wacha ujinga. Nimekuambia kwamba Kenya iko ranked na Fifa juu yenu kwenye soka. Wacha maneno mengi ya ujinga. Tumewashinda hadi kwenye soka sio riadha tu.
 
Duh eti mnakuwanga, ha ha ha hiki ni Kiswahili cha nyang'au haswa.
 
FIFA yaipigiga marufuku Kenya ( kutoshiriki) katika vitendo vyote vya soka = FIFA yaipiga marufuku Kenya kushiriki katika vitendo vyote vya soka.
Rekebisha lugha mkuu kwa faida ya wanajamvi kwa jumla.
 
Hii imecopiwa na kupestiwa
 
Wacha ujinga. Nimekuambia kwamba Kenya iko ranked na Fifa juu yenu kwenye soka. Wacha maneno mengi ya ujinga. Tumewashinda hadi kwenye soka sio riadha tu.
Leta ushahidi
 
Back
Top Bottom