Kimeumana: Magaidi wa HTS na Hezbollah wauana kikatili

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Magaidi waliompindua Rais Assad wa Syria wameapa kupambana na Magaidi wenzao wa Hezbollah kwenye mpaka wa Syria na Lebanon hii inatokana na Hezbollah kuingia Syria na kuwateka nyara askari wa Utawala mpya wa Syria kisha kuwaua kwa ku wapiga mawe kichwani baada ya kuwa Una miguu kwa risasi. Hapo ndipo utajua waarabu kichwani haziwatoshi kabisa.

Badala ya kupigana na Audi yao Mkuu Israel wameinukiana wao kwa wao kupigana sisi Wamatumbi tuna msemo VITA VYA PANZI FURAHA YA KUNGURU.

Binafsi nawatakia kila la Kheri wahane sana mpaka wcisnę na wa mbegu.

Waarabu, hasa wa madhehebu ya Shia, sijui wana laana gani!! Wakati wote furaha yao ni kuuana tu! Iran, Syria, Lebanon, Yemen, Sudan, kote, ni mauaji tu. Na ndani ya Afrika, ambako wapo wengi kidogo tu hao washia, kama huko Somalia, Mali, Nigeria, kote ni mauaji!!
 
Na Congo, Msumbiji, Ukrein Kote wamejaa.
 
View attachment 3274007
View attachment 3274008
God bless Israel
 
HTS ni genge la israel na marekani, Golan no mzaliwa wa milima ya Golan na jasusi wa israel
 
Hujui mzozo huu kwa undani.
Hao Ansar Sunni waliompindua Asad Ni vibaraka wa watu fulani na waliwezeshwa yale mapinduzi.
Juzi wameuwa wakristo na wa Shia Kama kuku bila sababu ya msingi.
Hao Hezibollah walikuwa wanamtegemea Assad na hapo wanalipa kisasi kwa washia wenzao na kwa Assad.
 
Na Congo, Msumbiji, Ukrein Kote wamejaa.

Vita vvimekuwepo Duniani kote. Lakini vilikuwepo au vinatokea muda fulani, halafu vinakoma, na watu wanaishi kwa amani. Hali hiyo ni tofauti sana kwa mataifa ya Kiarabu. Kwanza vita vingi katika mataifa ya kiarabu, siyo kati ya nchi na nchi, bali ni baina ya makundi tofauti ndani ya nchi moja. Halafu ni mauaji yanayoendelra wakati wote.

Mwaka 2022, ilitolewa taarifa kuwa Mashariki ya Kati ndilo eneo lililoongoza kwa vifo vilivyorokana na vita, ambapo zaidi ya watu 290,000 waliuawa!!

Hao Ukraine, ni vita kati ya Taifa na Taifa, lakini kwa waarabu, huwa wanauana wenyewe kwa wenyewe ndani ya nchi moja.
 
Magaidi waliompindua Rais Assad wa Syria wameapa kupambana na Magaidi wenzao wa Hezbollah kwenye mpaka wa Syria na Lebanon hii inatokana na Hezbollah kuingia Syria na kuwateka nyara askari wa Utawala mpya wa Syria kisha kuwaua kwa ku wapiga mawe kichwani baada ya kuwa Una miguu kwa risasi. Hapo ndipo utajua waarabu kichwani haziwatoshi kabisa.

Badala ya kupigana na Audi yao Mkuu Israel wameinukiana wao kwa wao kupigana sisi Wamatumbi tuna msemo VITA VYA PANZI FURAHA YA KUNGURU.

Binafsi nawatakia kila la Kheri wahane sana mpaka wcisnę na wa mbegu.

View attachment 3274007
View attachment 3274008
Hii dini ya mnyazi ni shida
 
Hujui mzozo huu kwa undani.
Hao Ansar Sunni waliompindua Asad Ni vibaraka wa watu fulani na waliwezeshwa yale mapinduzi.
Juzi wameuwa wakristo na wa Shia Kama kuku bila sababu ya msingi.
Hao Hezibollah walikuwa wanamtegemea Assad na hapo wanalipa kisasi kwa washia wenzao na kwa Assad.
Hizo ni taarifa kutoka masjid ubwabwa kwani wakristo waliouwawa walikuwa ni wanne tu na moja aliuliwa na "Stray Bullet" na wengine watatu waliuwawa baada ya kuwa wamebadili dini kutoka uislamu kuja ukristo hivyo nje ya hapo ni porojo za masjid ubwabwa tu.
 
Waarabu, hasa wa madhehebu ya Shia, sijui wana laana gani!! Wakati wote furaha yao ni kuuana tu! Iran, Syria, Lebanon, Yemen, Sudan, kote, ni mauaji tu. Na ndani ya Afrika, ambako wapo wengi kidogo tu hao washia, kama huko Somalia, Mali, Nigeria, kote ni mauaji!!
Hivi sunni si ndio itikadi kali au?
 
Wao wanasema wanamtumikia mungu wao anayeitwa allah na kwamba huyo mungu wao ndiye anapenda hayo....!!!😛😛😛😛
Walokole baada ya kushiba migebuka utawaona na kazi ya Uwongo na kufanya propaganda!!!!! kwani ao wachungaji wenu kulima awawezi kias cha kung.ang.ania kutumia jina la Yesu ili kwenda choooni!!!! Mmekimbia Jembe uku mbeya mmetafuta kitonga kutumia jina la bwana!!!!!
 
Yule Ayatolah sasa yuko upande gani ISIS au HTS au popote pale penye damu nyingi anaenda kufyonza?.
 
Back
Top Bottom