Na Congo, Msumbiji, Ukrein Kote wamejaa.Waarabu, hasa wa madhehebu ya Shia, sijui wana laana gani!! Wakati wote furaha yao ni kuuana tu! Iran, Syria, Lebanon, Yemen, Sudan, kote, ni mauaji tu. Na ndani ya Afrika, ambako wapo wengi kidogo tu hao washia, kama huko Somalia, Mali, Nigeria, kote ni mauaji!!
God bless IsraelMagaidi waliompindua Rais Assad wa Syria wameapa kupambana na Magaidi wenzao wa Hezbollah kwenye mpaka wa Syria na Lebanon hii inatokana na Hezbollah kuingia Syria na kuwateka nyara askari wa Utawala mpya wa Syria kisha kuwaua kwa ku wapiga mawe kichwani baada ya kuwa Una miguu kwa risasi. Hapo ndipo utajua waarabu kichwani haziwatoshi kabisa.
Badala ya kupigana na Audi yao Mkuu Israel wameinukiana wao kwa wao kupigana sisi Wamatumbi tuna msemo VITA VYA PANZI FURAHA YA KUNGURU.
Binafsi nawatakia kila la Kheri wahane sana mpaka wcisnฤ na wa mbegu.
View attachment 3274007
View attachment 3274008
HTS ni genge la israel na marekani, Golan no mzaliwa wa milima ya Golan na jasusi wa israelMagaidi waliompindua Rais Assad wa Syria wameapa kupambana na Magaidi wenzao wa Hezbollah kwenye mpaka wa Syria na Lebanon hii inatokana na Hezbollah kuingia Syria na kuwateka nyara askari wa Utawala mpya wa Syria kisha kuwaua kwa ku wapiga mawe kichwani baada ya kuwa Una miguu kwa risasi. Hapo ndipo utajua waarabu kichwani haziwatoshi kabisa.
Badala ya kupigana na Audi yao Mkuu Israel wameinukiana wao kwa wao kupigana sisi Wamatumbi tuna msemo VITA VYA PANZI FURAHA YA KUNGURU.
Binafsi nawatakia kila la Kheri wahane sana mpaka wcisnฤ na wa mbegu.
View attachment 3274007
View attachment 3274008
Na Congo, Msumbiji, Ukrein Kote wamejaa.
Hii dini ya mnyazi ni shidaMagaidi waliompindua Rais Assad wa Syria wameapa kupambana na Magaidi wenzao wa Hezbollah kwenye mpaka wa Syria na Lebanon hii inatokana na Hezbollah kuingia Syria na kuwateka nyara askari wa Utawala mpya wa Syria kisha kuwaua kwa ku wapiga mawe kichwani baada ya kuwa Una miguu kwa risasi. Hapo ndipo utajua waarabu kichwani haziwatoshi kabisa.
Badala ya kupigana na Audi yao Mkuu Israel wameinukiana wao kwa wao kupigana sisi Wamatumbi tuna msemo VITA VYA PANZI FURAHA YA KUNGURU.
Binafsi nawatakia kila la Kheri wahane sana mpaka wcisnฤ na wa mbegu.
View attachment 3274007
View attachment 3274008
Hizo ni taarifa kutoka masjid ubwabwa kwani wakristo waliouwawa walikuwa ni wanne tu na moja aliuliwa na "Stray Bullet" na wengine watatu waliuwawa baada ya kuwa wamebadili dini kutoka uislamu kuja ukristo hivyo nje ya hapo ni porojo za masjid ubwabwa tu.Hujui mzozo huu kwa undani.
Hao Ansar Sunni waliompindua Asad Ni vibaraka wa watu fulani na waliwezeshwa yale mapinduzi.
Juzi wameuwa wakristo na wa Shia Kama kuku bila sababu ya msingi.
Hao Hezibollah walikuwa wanamtegemea Assad na hapo wanalipa kisasi kwa washia wenzao na kwa Assad.
Hivi sunni si ndio itikadi kali au?Waarabu, hasa wa madhehebu ya Shia, sijui wana laana gani!! Wakati wote furaha yao ni kuuana tu! Iran, Syria, Lebanon, Yemen, Sudan, kote, ni mauaji tu. Na ndani ya Afrika, ambako wapo wengi kidogo tu hao washia, kama huko Somalia, Mali, Nigeria, kote ni mauaji!!
Walokole baada ya kushiba migebuka utawaona na kazi ya Uwongo na kufanya propaganda!!!!! kwani ao wachungaji wenu kulima awawezi kias cha kung.ang.ania kutumia jina la Yesu ili kwenda choooni!!!! Mmekimbia Jembe uku mbeya mmetafuta kitonga kutumia jina la bwana!!!!!Wao wanasema wanamtumikia mungu wao anayeitwa allah na kwamba huyo mungu wao ndiye anapenda hayo....!!!๐๐๐๐