I'm scrutinizing nani kati yao aliyeanza matusi.Kijana u-young unamharibu ameshindwa kujua maana ya diss track ye ni kutuma matusi from the beginning [emoji23]
Ukijibu kitu ukiwa na hasira inakuwa ngumu kufanya kitu cha maana
Umeufikirisha ubongo wako,kwa kiwango cha chini kabisa.Content ni Nini?
Mfano wowote??
Huwezi kuwa rapper halafu unarap Kama unaongea Kama anavyofanua Dizasta.
Hicho anachofanya Dizasta hakihotaji kipaji, ni suala la kuandika n kuongea tu maandishi yako Kama risala.
Umeufikirisha ubongo wako,kwa kiwango cha chini kabisa.
Misukule wa Deadzasta, ni Kama mmekarurishwa. Hoja zenu zote zinafanana Kama kasuku.Hakuna content,humu ni matusi tu yamejaa,ni kama vile katoa wimbo wa kucheza club.
Mi napenda battle kama hizi japo kwa hili sidhani kama Rapcha ana desreve muda wa Dizasta aisee.Angemkaushia tu,Dizasta ni mkubwa sana kwa kile kitoto.Hakijui kuandikaDizasta round hii akijibu sidhani kama dogo anaweza kuendelea
Umecopy mstari mmoja,kahesabu hizo sasa kwa rapcha,tena Dizasta keshasema ukiona tusi sorry ni typo.πMisukule wa Deadzasta, ni Kama mmekarurishwa. Hoja zenu zote zinafanana Kama kasuku.