Kimeumana: Rapcha aijibu Diss Track ya Dizasta Vina

Kimeumana: Rapcha aijibu Diss Track ya Dizasta Vina

Kijana u-young unamharibu ameshindwa kujua maana ya diss track ye ni kutuma matusi from the beginning [emoji23]
Ukijibu kitu ukiwa na hasira inakuwa ngumu kufanya kitu cha maana
I'm scrutinizing nani kati yao aliyeanza matusi.
Screenshot_20230112-175832.jpg
 
Content ni Nini?

Mfano wowote??

Huwezi kuwa rapper halafu unarap Kama unaongea Kama anavyofanua Dizasta.

Hicho anachofanya Dizasta hakihotaji kipaji, ni suala la kuandika n kuongea tu maandishi yako Kama risala.
Umeufikirisha ubongo wako,kwa kiwango cha chini kabisa.
 
Hakuna content,humu ni matusi tu yamejaa,ni kama vile katoa wimbo wa kucheza club.
 
Hakuna content,humu ni matusi tu yamejaa,ni kama vile katoa wimbo wa kucheza club.
Misukule wa Deadzasta, ni Kama mmekarurishwa. Hoja zenu zote zinafanana Kama kasuku.
 
Attachments

  • IMG_20230112_154932.jpg
    IMG_20230112_154932.jpg
    26.9 KB · Views: 11
Misukule wa Deadzasta, ni Kama mmekarurishwa. Hoja zenu zote zinafanana Kama kasuku.
Umecopy mstari mmoja,kahesabu hizo sasa kwa rapcha,tena Dizasta keshasema ukiona tusi sorry ni typo.😂
😂
 
Back
Top Bottom