Kimeumana: Refa aliyekataa goli la Guede afungiwa

Kimeumana: Refa aliyekataa goli la Guede afungiwa

Wangekuwa wanapigwa na faini hata ya milioni 10 ili timu inazowaonga waonge zaidi ya miliini 10 kwa mhusika.
 
Pia Refa aliyekataa goli alilofunga Obrey Chirwa dhidi ya Yanga na kuwanyima goli la ushindi Kagera Sugar tunataka kuona naye anaadhibiwa.
Na kulipa faini ya kiasi cha Tsh 10,000,000/=
Kama alivyopendekeza mdau mmoja humu.
 
Back
Top Bottom