Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 6,941 Reaction score 7,808 May 13, 2024 #21 Wangekuwa wanapigwa na faini hata ya milioni 10 ili timu inazowaonga waonge zaidi ya miliini 10 kwa mhusika.
Wangekuwa wanapigwa na faini hata ya milioni 10 ili timu inazowaonga waonge zaidi ya miliini 10 kwa mhusika.
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 May 13, 2024 #22 Yah Labani og said: Sema wanaendelea kujifunza Click to expand... Yah! Adhabu Kama hizi zinawakomaza
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 12,658 Reaction score 16,205 May 14, 2024 #24 Pia Refa aliyekataa goli alilofunga Obrey Chirwa dhidi ya Yanga na kuwanyima goli la ushindi Kagera Sugar tunataka kuona naye anaadhibiwa. Na kulipa faini ya kiasi cha Tsh 10,000,000/= Kama alivyopendekeza mdau mmoja humu.
Pia Refa aliyekataa goli alilofunga Obrey Chirwa dhidi ya Yanga na kuwanyima goli la ushindi Kagera Sugar tunataka kuona naye anaadhibiwa. Na kulipa faini ya kiasi cha Tsh 10,000,000/= Kama alivyopendekeza mdau mmoja humu.
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 May 14, 2024 Thread starter #25 Ghiti Milimo said: Umeshahesabiwaaa! Click to expand... Mapema sana