Kimeumana Simba: Kagoma afuta Kila kitu kuhusu Simba mtandaoni

Kimeumana Simba: Kagoma afuta Kila kitu kuhusu Simba mtandaoni

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Katika hali ya kushangaza kiungo wa klabu ya Simba SC Yusuph Kagoma amefuta picha zake zote akiwa na klabu yake, pamoja na utambulisho wake Kama mchezaji wa Simba SC katika Mtandao wa Instagram (BIO).

Ikumbukwe @kagoma_21 alikuwa akiuguza majeraha ambayo yalimuweka nje ya uwanja katika michezo kadhaa ambayo klabu ya Simba wamecheza.

Pia kiungo huyo hajasafiri na timu ya Simba siku ya Leo kuelekea nchini Algeria kwenye mchezo wa pili wa Simba hatua ya makundi Kombe la Shirikisho dhidi ya CS Constantine.

#FutbalPlanetUpdates

Unaambiwa huko ukoloni ......moto juu ya moto ......yajayo yanatisha
1733320713518.jpg
 
Back
Top Bottom