Kimeumana Simba: Kagoma afuta Kila kitu kuhusu Simba mtandaoni

Baada ya vipigo mfululu ukawa umepoteza dira sasa umeona huko mtandaoni ya kagoma umekuja resi kuanzisha uzi huku meno 34 yako nje...kijana acha umbea...kagoma yupo Simba mtaaaibika vibaya vibayaaa..
Hahahhaha yani inafurahisha sana mnavyopaparuka kama mahindi ya bisi
 
Ni kweli kafuta...
Unaijua sababu?
Unajua kwanini kafuta au unafurahia tuu...
 
Wewe ulifia wapi kumbe upo ..bada ya kuona ya kagoma ndio umefufuka kutoka kaburini?
 
Kwahiyo hii taarifa inasaidia vipi kuepusha yanga na vipigo?!
 
Kama Baleke, Chama, Mkude, wote wanaliliwa na kupiganiwa na mashabiki kindakindaki wa Yanga ili WAANZE, nadhani Kagoma ataingia vizuri tu kwenye kundi hilo la wachezaji vipenzi wa utopolo
Chama ni pure class A prayer...
 
Kaangalie kwenye IG yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…