Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Ushakosa hojaOhoooo kumbe huyu Daudi Mchambuzi alianzia UVCCM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushakosa hojaOhoooo kumbe huyu Daudi Mchambuzi alianzia UVCCM?
Mayai ya kware wekundu bei yake kwa Tora moja vanila haiingiiNiliona hapa kuna mtu anarudia sana kuweka tangazo la kuuza Vanilla nikajua tu na hii ni changa la macho kama lile swala la ufugaji wa kware.
Kama ujatembea ndugu sio wote.Jua kwanza vanilla ni kiungo cha nnKagera na Madagascar ipi Acha uongo wewe hata Kula hujala unadanganya wenzako
Vitu vinavyofanyika kiasili (naturally) kama kuzaliwa, kukua, kuzaliana na kufa huendelea vyenyewe bila kuingiliwa.Ipo ivi Mkuu kind of flower ya vanilla ni closed kwaiyo nivigumu sana mdudu kuweza kuingia na kufanikiwa kufanya pollination kwaiyo inabidi mkulima mwenyewe afanye maana Kuna vifaa maalumu kama forceps iv ndo vinatumika lkn inabidi viwe clean ili pollen zisiwe contaminated mbaya Zaid pollination inabidi ifanyike kwanzia saa nne adi saa sita mchana baada ya apo huwezi kufanikiwa kufanya icho kitu kwa kweli ilo zao ni changamoto kwa mkulima hasa kwa Tanzania yetu
Wewe ndio umetembea sana!!.. kweli wewe kalunyaKama ujatembea ndugu sio wote.Jua kwanza vanilla ni kiungo cha nn
Nitaweka mbole ya kutosha na mkojo wa binadamu, kitu litakuwa cha kijani.Nitafuga mbwa na nitawavutisha mmea ili walinde vizuri.Nashukuru kwa wazi mjedaKilimo cha ukweli kinacholipa maradufu na kwa haraka ni kilimo cha Bangi ila lazima uisome PGO yote uelewe haki zako za msingi unapokuwa chini ya mikono salama ya serikali kabla ya kushika jembe🐒
Michongo wa ukweli wabongo Wanatia password umeongea ukweli hii nchi ndio Maana ccm wamefanyikiwa kutawala, Watu wana roho mbaya sanaTanzania yetu ukisikia zinatangazwa fursa kwa nguvu kubwa basi ujuwe wewe ndio fursa yenyewe.
Trust me Wabongo mchongo wa kweli wa kupiga pesa hata rafiki yako wa karibu huenda pia asikutonye.
Ulizia bei ya vanilla dunianiWewe ndio umetembea sana!!.. kweli wewe kalunya
Unajua hata bei ya Mahindi Duniani ni kubwa kuliko ya huko mtaani kwako?Ulizia bei ya vanilla duniani
Vanilla haiuzwi mtaani kama mahindiUnajua hata bei ya Mahindi Duniani ni kubwa kuliko ya huko mtaani kwako?
SawaVanilla haiuzwi mtaani kama mahindi
Hiki ndio kilimo pekee ninachokiamini.Kilimo cha ukweli kinacholipa maradufu na kwa haraka ni kilimo cha Bangi ila lazima uisome PGO yote uelewe haki zako za msingi unapokuwa chini ya mikono salama ya serikali kabla ya kushika jembe🐒
Aina ya nyuki (Melapona)ambao wanaweza kufanya pollination kwenye ua la vanilla hawapatikani tz,hii ni kwasababu ya nature ya ua lenyewe.Nyuki hao wanapatikana kwenye baadhi ya nchi/ukanda wa Africa.Nilisikia siku moja redioni kuhusu hilo, kwamba eti kumbe pollination yake haitegemei Wadudu au upepo kama mimea mingine...kwamba unatakiwa Mkulima mwenyewe ufanye timing ndio uwezeshe pollination.
Nilibaki njia panda ila nikajiuliza ndio Mungu alivyokusudia au kuna mahali tu sisi Binaadamu tunakosea ndio maana inalazimu kufanya hivyo?.
Any way vyovyote iwavyo ni zao linalohitaji umakini mkubwa mpaka kuvuna....na isingikuwa uhitaji wake upo juu Watu wangelipotezea tu kwa kweli.
Hata mm nilikuwa najiuliza hili swali kwa nguvu Sana. Kwamba kwann wasikope wao mamilioni ya fedha kisha wakalima mahekari kwa mahekari wakauza halafu wakapata faida??Halafu majamaa yanasema lete hela nikulimie. Kwanini wasilime wao wapate 1M kwa kilo?
Walikuwa wanatangaza kuwa kilo moja nj milioni moja. Mm mpk nilirekodi kwenda kuwasilizisha marafiki zanguHapana Mkuu...
Kila moja ni Tsh laki moja not millioni.
Ndiyo. Majimbo kama Florida na California bange ruksaMkuu, na marekan wanatumia ganja?
Mkuu usinikumbushe mambo ya kware sijui yaliishia wapi na kuwadanganya watu kuwa ukila mayai ya kware umeme wa Tanesco unazimikaNiliona hapa kuna mtu anarudia sana kuweka tangazo la kuuza Vanilla nikajua tu na hii ni changa la macho kama lile swala la ufugaji wa kware.
Ukikamatwa na bangi usikubali waende kukusachi mbele kwa mbele ,waambie mmalizane mbele za watu waone umekamatwa na kil9 ngapi lasivyo wataenda kukupa magunia yote waliyoyaweka store harafu kwenye habari watatangaza wamekukuta na viroba 20 vya bangi wakati ni ka kilo moja tu 😂😂😂Kilimo cha ukweli kinacholipa maradufu na kwa haraka ni kilimo cha Bangi ila lazima uisome PGO yote uelewe haki zako za msingi unapokuwa chini ya mikono salama ya serikali kabla ya kushika jembe🐒