Kimeumana Vanilla Njombe: Ni utapeli mtupu

Aseee!
 
Kilimo Cha kulima kwenye kioo Cha simu na laptop. Wanalima humuhumu kwenye simu mpaka wanavuna na kuuza. Shambani wanakwambia leta hela tukulimie.
 
Duuuh!

Kumbe kuna wakati fahamu zako huwa zinarejea unaandika vitu vya maana.

Itakuwa ulipata mshauri mzuri wa saikolojia ya akili, mpaka ukawa sawa.

Ahsante kwa ushauri mzuri.
 
Kuna ulinzi gani kampuni ikisajiliwa ktk soko la hisa
 
Yaani hao wanaojitangaza kama wsmeona Vanila inalipa si wakope benki walime? Kwann wanawatangazia watu wengine wao hawalimi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…