Kimeumana Vanilla Njombe: Ni utapeli mtupu

Hapana Mkuu;
Kilo moja ni Tshs 850,000/= ?? sio Laki moja.!!!
Mkuu na we uko chaka mana binafs nina uzoefu wa kutosha na vanilla. Kuna kg 300 nimekosa mteja hata wa tsh 400000@kg. Hawa jamaa wa njombe nilijua tu ni suala la muda. Ukitaka kujua kilio cha vanilla nenda kagera.
 
Mkuu Benki haiwezi kukataa Letter of Credit...., Kule Mnunuzi anaongea na Benki yake ina-guarantee malipo kuwa processed iwapo mzigo utafika...

What Is a Letter of Credit?
A letter of credit, or "credit letter," is a letter from a bank guaranteeing that a buyer's payment to a seller will be received on time and for the correct amount. In the event that the buyer is unable to make a payment on the purchase, the bank will be required to cover the full or remaining amount of the purchase. It may be offered as a facility.

Due to the nature of international dealings, including factors such as distance, differing laws in each country, and difficulty in knowing each party personally, the use of letters of credit has become a very important aspect of international trade.
"Profesa Kabudi Nenda Madagascar Ukatuletee Miche ya Vanill". Naamini utapata kitu humo.
Mkuu kwenye uzi nipate nini ? Hapa issue ni Value ya Vanilla ? Au tunaongelea Kama Model inayotumiwa na hawa wadau inahitaji more transparency ?
 
Ni utapeli bhana! Kama nawe uelewa ni mdogo, shut-up!! Ulaya gani inayonunua bei kubwa kiasi hicho? Au ukisikia ulaya unaamini ni kule juu inakoelekea ndege? Kama umewahi kuishi Ulaya, ulikuta bei ya parachichi ya kiwango hicho unachohisia. Usiishie kusema parachichi za njombe bhla!-bhla! Hizo ni ndoto. Ulaya haiwezi kuruhusu bei ya chakula chochote iwe juu kama anasa. Wanao-export wanapata faida kuliko mkulima na hiyo ni kawaida ya mazao yote duniani. Sasa wewe unataka tuamini vanilla ni milioni 1 kwa kilo? That is stupid!
 
Wrong notion! Kitu kinachofanyika hapa ni UWEKEZAJI! Mimi nina pesa yangu nampa Vanilla International kwa MKATABA WA KISHERIA yeye analima kwa niaba yangu mimi mwenye pesa. Yeye ana ARDHI, VIBARUA, UTAALAMU na ukipenda SOKO. Ni nini kisichoeleweka hapa!? Serikali ya Tanzania na Barrick wameunda TWIGA MINERALS COMPANY, Serikali ina ardhi na madini, Barrick wana soko, pesa na utaalamu. Barrick wakivuna, wanauza na kuipa Serikali chake. Serikali HAIENDI KUCHIMBA WALA KUUZA, yenyewe itahakiki tu mazao!

That is the approach ya vanilla guys, wapi hapaeleweki? Hata mikataba inasema hivyo, anything kinyume na Mkataba ni kwa Pilato na kupambana. Hivyo ndivyo maisha yalivyo, sasa weye ukikaa na kuimba DECI au MATAPELI na kuanza kulumbana humu JF na kuishia kupata "thanks na point za kukufanya uwe JF - Expert Member" basi bana!
 
Kwani Mkuu wa Mkoa wa Njombe kasema NINI!? Mbona mnamuwekea maneno na mawazo yenu huyo mkuu? Kila mtu kamsikia na RPC wake. Leo mnawageuzia maneno. Acheni uongo humu JF.
 
Mi nahis au hatunaga viongoz wanaojielewa au ndo hivo nao ni makolo. Mtu anajitangazia fursa hata usalama wa taifa hawajiongezei maarifa yoyote kuhusu fursa husika mpaka watu wanapigwa. Viongoz nao Wanajitutumia misukule yao imeshaumizwa mitaj yao. Anayeelewa kuwa watanzania iq yetu ni questionable kwa sabab ya mitaala na u communist anatakiwa kuwa pro active. Humu tulishajadili sana kuwa kile ni kipind kuwapiga watu mitaji yao na pia wahuni wavutie mikopo mikubwa benk za kilimo. I WISH I WERE TISS!
 
Hapa tunakwenda kwa HOJA siyo MATUSI. One can understand what type of a person YOU ARE kutokana na unachoandika na unachosema. Ndiyo maana huwa mnaishia kutukanana hadi kuwaingiza wazazi wenu kwenye masuala haya badala ya kwenda kwa HOJA. Hivyo kutokana na matusi yako, binafsi nashindwa kujibizana na weye kwa HOJA hivyo, na LOG OFF kujibizana na weye kwani sina hayo matusi ya kukujibu. SORRY!
 
Super Brand wamekuwa ndiyo madalali wa huu utapeli wa Vanilla!

Hivi wao hupokea tu matangazo na kuyarusha bila hata kuchanganya na za kwao?
HIvi vyombo vya habari vinastahili kuwa na watu wa ethics! Wanatoa matangazo yaliyobuniwa kuwalaghai wananchi yaonekane ni taarifa muhimu ya kitaifa. Ni mengi, ikiwa ni pamoja na yale ya tatu mzuka, Biko,... Kwa mwananchi wa kawaida anahadaika kwamba ni tangazo la kitaifa, kumbe ni utapeli wa aina fulani.

Miaka ya zamani EAC ilikuwa na matamngazo ya dawa ya Aspro, ikisema aspro mbili kwa magonjwa ishirini. WHO ilipiga marufuku tangazo la aina hiyo kujitokeza kwenye vyombo vya habari. Hawa ni washenzi tu na vijineno vya uchumi eti economies of scale bhla-bhla!.
 
Super Brand wamekuwa ndiyo madalali wa huu utapeli wa Vanilla!

Hivi wao hupokea tu matangazo na kuyarusha bila hata kuchanganya na za kwao?
HIvi vyombo vya habari vinastahili kuwa na watu wa ethics! Wanatoa matangazo yaliyobuniwa kuwalaghai wananchi yaonekane ni taarifa muhimu ya kitaifa. Ni mengi, ikiwa ni pamoja na yale ya tatu mzuka, Biko,... Kwa mwananchi wa kawaida anahadaika kwamba ni tangazo la kitaifa, kumbe ni utapeli wa aina fulani.

Miaka ya zamani EAC ilikuwa na matamngazo ya dawa ya Aspro, ikisema aspro mbili kwa magonjwa ishirini. WHO ilipiga marufuku tangazo la aina hiyo kujitokeza kwenye vyombo vya habari. Hawa ni washenzi tu na vijineno vya uchumi eti economies of sclale.
K

wani Mkuu wa Mkoa wa Njombe kasema NINI!? Mbona mnamuwekea maneno na mawazo yenu huyo mkuu? Kila mtu kamsikia na RPC wake. Leo mnawageuzia maneno. Acheni uongo humu JF.
Kwa mwenye uelewa kama mimi, nikisikiliza mahojiano ya mkuu wa mkoa na huyo anayejiita muwekezaji, hitimisho ni kwamba muwekezaji ameingiza utapeli, simple. Kivutio ni bei ya milioni 1 kwa kilogram ya vanilla, ambayo amesema ni uongo. What NEXT??

Angalia dakika ya 6:07 ya video hii kama bado umeshupaa shingo.

 
Naona kila Mtu anakuja na bei yake...ila vyovyote iwavyo bado inaonesha ni zao linalolipa ukilinganisha na mazao mengi.
Kwanza Iyo Bei Ni ndogo ukilinganisha na shughuli yenyewe.

Kwa

Pia zao lenyewe linakommaa baada ya miaka 4.

Uvunaji na uandaaji wa vannila ifikie kuuzwa,
Sio chini ya miaka 2 au 1 na Nusu.
 
Yan mkulima ataambiwa inabidi utafute Miche ya Migomba au Jatropha plant ili iwe chanjo Cha kimvuli maana vanilla ipo sensitive na solar radiation kwaiyo ni fulsa juu ya fulsa
Nadhani Mariki Boy hujawafuatilia hawa walima vanilla wa Njombe na utaratibu wao, vinginevyo hilo suala la kutafuta miche ya migomba na Jatropha kama chanzo cha kivuli usingelisema hapa.
 
Anachosema RC ni kweli. Yeye na wenzake hawajui, yaani hakufuatilia hili suala tangu mwanzo na sasa labda kasituliwa na wana JF na ndio kaanza KUFUATILIA ana kuwa REACTIVE badala ya kuwa PRO ACTIVE! Anachosema wotemmesikia, anawataka wasitishe ujenzi wa vibanda vya wafanya kazi wao SIYO GREENHOUSES za Vanilla1 Msipotoshe hili suala.
 
Oooh! Ktk mazungumzo ya kawaida ya kiingereza kusema stupid au shame ni sawa? Naonesha kutoridhika kwangu. Kumbe wewe uswahili umekujaa. Lakini mbona unaandika kiingereza na wewe, ingawa kina makosa?
Correction:
Usiandike, One can understand what type of a person YOU ARE
Andika hivi One can understand what type of a personality ARE YOU

Duniani hatuna types of persons, tuna types of personalities. Anganlia tofauti ya YOU ARE na ARE YOU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…