Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Najua mwezi umeandama ila kimeumanaaaaa. Acha niandamane nao tuu sio kwa kuumana huku wuuuhh.
Jumamosi alfajiri nilienda mpokea, tukaanza kutabasamu maana hatujaonana kitambo kidogo. Nilijikuta namkimbilia na kumrukia nusura tudondoke chini, bila kujali hadhira kumbato lilikuwa nene na zito likisindikizwa na mabusu kedekede na I miss you so much babe kwa wingi aahahahahaha mapenzi haya.
Ile mvua ya Jumapili ilitutendea haki maana tulionekana barabarani leo jumatatu saa mbili asubuhi.
Kesho mziki unendelea....
Love π # aluta kontinua....β£οΈ
Nashindwa kudadavua zaidi, acha niendelee kuimba tuu.
Running to my babe Josh π.
Kasie Platinum m Mahaba.
Raha ndani ya roho π₯°.