Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Bibi unavyozidi kuzeeka ndio mahaba yanazidi kukolea [emoji16] kuna siku nilipigwa deep kiss stand yani nmeshuka tu kwenye bus niliwahiwa na mkumbatio na busu zito. Tulivyofika nyumbani hata nafasi ya kuoga kabla ya yote sikupewa. feelings za kummisi umpendae kwa muda mrefu ni burudani sana yani mkiwa wote na feelings hizo kitaalamu tunaita both team to score.
Hahahah ukisimama fimbo, ukiinama fimbo, ukiinuka fimbo, ukichuchumaa fimbo.Yaaaniii aachaaaaa......
Macho yangu na sauti yangu vinaniponza....
Kila nikimtizama na nikimuitikia anaponiita naombwa tena...ππππ
π²Najua mwezi umeandama....
Ila, kimeumanaaaaa....!
Acha niandamane nao tuu sio kwa kuumana huku wuuuhh....!!!
Jumamosi alfajiri nilienda mpokea, tukaanza kutabasamu maana hatujaonana kitambo kidogo.
Nilijikuta namkimbilia na kumrukia nusura tudondoke chini, bila kujali hadhira kumbato lilikuwa nene na zito likisindikizwa na mabusu kedekede na I miss you so much babe kwa wingi aahahahahaha mapenzi haya....!
Ile mvua ya jumapili ilitutendea haki maana tulionekana barabarani leo jumatatu saa mbili asubuhi.
Kesho mziki unendelea....
Love π # aluta kontinua....β£οΈ
Nashindwa kudadavua zaidi, acha niendelee kuimba tuu.
Running to my babe Josh π.
Kasie Platinum m Mahaba.
View attachment 1750594
Raha ndani ya roho π₯°.
Ukitoa "Kimeumana Remix" nishtue niingize hata verse moja.Najua mwezi umeandama....
Ila, kimeumanaaaaa....!
Acha niandamane nao tuu sio kwa kuumana huku wuuuhh....!!!
Jumamosi alfajiri nilienda mpokea, tukaanza kutabasamu maana hatujaonana kitambo kidogo.
Nilijikuta namkimbilia na kumrukia nusura tudondoke chini, bila kujali hadhira kumbato lilikuwa nene na zito likisindikizwa na mabusu kedekede na I miss you so much babe kwa wingi aahahahahaha mapenzi haya....!
Ile mvua ya jumapili ilitutendea haki maana tulionekana barabarani leo jumatatu saa mbili asubuhi.
Kesho mziki unendelea....
Love π # aluta kontinua....β£οΈ
Nashindwa kudadavua zaidi, acha niendelee kuimba tuu.
Running to my babe Josh π.
Kasie Platinum m Mahaba.
View attachment 1750594
Raha ndani ya roho π₯°.
Asante kunielewaaa
Yaani wewe umeelezea yooteee kinagaubaga [emoji1360]
Mahaba ni kama mvinyoo.
Kijana acha kubet
[emoji16][emoji16]sawasawa mkuu[emoji16] ntaacha siku nikianza kuhonga.
So kamvua kanasindikiza mechi[emoji851]Yoooh.....
[emoji16][emoji16]sawasawa mkuu
Nimeacha mkuu na sababu ya kuacha ni kuwa kuna siku nilibeti hiviWe umeshaacha?
Nimeacha mkuu na sababu ya kuacha ni kuwa kuna siku nilibeti hivi
A REFEREE WILL DIE INSIDE THE PITCH..nikaweka NO,nikastake nyumba..asubuhi nilivyoamka nikakuta mkeka umechanika,refa alipigwa mpira wa kichwa akafa uwanjani..now nimekuwa homeless sina nyumba.
I love you Kasie, in life kufurahi ndo mpango mzima..Enjoy what makes you happyπYaaaniii aachaaaaa......
Macho yangu na sauti yangu vinaniponza....
Kila nikimtizama na nikimuitikia anaponiita naombwa tena...ππππ