Kimeumana...

Kimeumana...

Bibi unavyozidi kuzeeka ndio mahaba yanazidi kukolea [emoji16] kuna siku nilipigwa deep kiss stand yani nmeshuka tu kwenye bus niliwahiwa na mkumbatio na busu zito. Tulivyofika nyumbani hata nafasi ya kuoga kabla ya yote sikupewa. feelings za kummisi umpendae kwa muda mrefu ni burudani sana yani mkiwa wote na feelings hizo kitaalamu tunaita both team to score.

Asante kunielewaaa

Yaani wewe umeelezea yooteee kinagaubaga 👍🏼

Mahaba ni kama mvinyoo.
 
Yaaaniii aachaaaaa......

Macho yangu na sauti yangu vinaniponza....

Kila nikimtizama na nikimuitikia anaponiita naombwa tena...😜😋😋😋
Hahahah ukisimama fimbo, ukiinama fimbo, ukiinuka fimbo, ukichuchumaa fimbo.
Jikunje style zote hadi ile ya "kiwasenza" ukiwa jikoni unampikia ubwabwa wa Uarabuni.
 
Najua mwezi umeandama....

Ila, kimeumanaaaaa....!

Acha niandamane nao tuu sio kwa kuumana huku wuuuhh....!!!

Jumamosi alfajiri nilienda mpokea, tukaanza kutabasamu maana hatujaonana kitambo kidogo.

Nilijikuta namkimbilia na kumrukia nusura tudondoke chini, bila kujali hadhira kumbato lilikuwa nene na zito likisindikizwa na mabusu kedekede na I miss you so much babe kwa wingi aahahahahaha mapenzi haya....!

Ile mvua ya jumapili ilitutendea haki maana tulionekana barabarani leo jumatatu saa mbili asubuhi.

Kesho mziki unendelea....

Love 💕 # aluta kontinua....❣️

Nashindwa kudadavua zaidi, acha niendelee kuimba tuu.

Running to my babe Josh 💋.

Kasie Platinum m Mahaba.

View attachment 1750594

Raha ndani ya roho 🥰.

😲
 
Bibi unapenda story za mahaba na kugongana.
Tupe mbususu hiyo vijana tuisambaratishe.
 
Najua mwezi umeandama....

Ila, kimeumanaaaaa....!

Acha niandamane nao tuu sio kwa kuumana huku wuuuhh....!!!

Jumamosi alfajiri nilienda mpokea, tukaanza kutabasamu maana hatujaonana kitambo kidogo.

Nilijikuta namkimbilia na kumrukia nusura tudondoke chini, bila kujali hadhira kumbato lilikuwa nene na zito likisindikizwa na mabusu kedekede na I miss you so much babe kwa wingi aahahahahaha mapenzi haya....!

Ile mvua ya jumapili ilitutendea haki maana tulionekana barabarani leo jumatatu saa mbili asubuhi.

Kesho mziki unendelea....

Love 💕 # aluta kontinua....❣️

Nashindwa kudadavua zaidi, acha niendelee kuimba tuu.

Running to my babe Josh 💋.

Kasie Platinum m Mahaba.

View attachment 1750594

Raha ndani ya roho 🥰.

Ukitoa "Kimeumana Remix" nishtue niingize hata verse moja.
 
Nimeacha mkuu na sababu ya kuacha ni kuwa kuna siku nilibeti hivi

A REFEREE WILL DIE INSIDE THE PITCH..nikaweka NO,nikastake nyumba..asubuhi nilivyoamka nikakuta mkeka umechanika,refa alipigwa mpira wa kichwa akafa uwanjani..now nimekuwa homeless sina nyumba.

[emoji23][emoji23][emoji23] kubet raha sana. Hapo ungestake moyo kabisa ili keka likichanika nawewe unapotea jumla.
 
Back
Top Bottom