Kimeumana...

Kimeumana...

kuna wanaume wenzetu wanafaidi utamu humu duniani !!
unapewa yote bila hiyana, mpaka moyo unausikia unapigia kwenye ngoma za sikio.

Mahaba matamu sana ukimpata anauejua kucheza kidali poo na komborela.

Mtoto hatumwi dukani alooo...😀.
 
Aahahahahahhahahaaa

Basi akipita akisoma hapa bichwa linampandaa linakuwa kuubwaaaa....[emoji28][emoji28][emoji28]

Kiukweli namshukuru Mungu kwa ulimi alonijalia, bae huwa hachoki nisikiliza....[emoji3059].

Kumbe humu yupo ?
 
Aahahahahaa
Umenifanya nikumbuke huu wimbo...
Ice ice baby.... vanilla ice ice baby ...ice( iceberg).

Iceberg Mahaba ya Kasie ni Matata kuliko Matata yenyewe. Ukianza fatilia kuwa hilini penzi jipya au lile la miaka yote.... utajikuta nawewe umezama kwenye hilo penzi na kutoka humo hadi uchomolewe na stiglaz goji [emoji12][emoji12][emoji12][emoji28].

Si wajua Tanga wenda leo kurudi majaliwa.... basi ili usitumbukiemo wee jifunze tuu. Kasie na bae wake wanajuana kama vikombe na vibakuli [emoji28].

Ila ngoja nimuulize, ati bae wa Kasie...

Wewe ni yule wa siku zote au wewe ni mpya....!???

Iceberg9 nakupa kazi ya kufatilia ishara utazoziona kwenye hii quote, utapata jibu.

Lazima atapita hapa.

[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] Wachaaaaaa weeeee una makeke wewe, mtoto utanitia upofu wewe, hebu msikilize noora unamkumbula lakini?!? wewe si mhenga mwenzangu utakua unazijua old bongofleva, sikiliza ICE CREAM ya NOORA AKA BABA STYLE utaipenda hiyo kijicho ni kama anakuita kasie ah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnyamwezi nakula..... hatari sana, hivi wewe Kasie unajua wewe ni balaa lingine mbona nimekoma kudadeki sitaki kujifunza mambo yako haya utanipoteza wewe , hizo ladha mithili za ice cream[emoji511][emoji510] ehhh sema kimtindo mshikaji wako kapwaya hana fujo kama zako na unampeleke mpaka anakosa pumzi kwenye kona unakanyagia speed 120km/hr kama kawaida yako za league, wewe mtundu sema nini jamaa sio level zako, wewe level zako ni za...... , mshikaji akipita anikaushie anikaushie maana atachezea za kidevu[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaahahahahahhaaa unanitega eeehhhhh....!!!😅😅😅

Hivi ni kigagula ila watu hawaachi kudata sababu ya utamu kama ice cream...😋😋😋

Sio mimi ni wimbo jamani kina Suma Lee hao aahahahahaha

Umenikumbusha enzi za wimbo wa T-shirt na jeans...

Mahaba Matata.
 
Back
Top Bottom