GE2025 Kimewaka CCM Kibaha: Wajumbe wawakataa watia nia wazee wa udiwani, wasusia kikao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Kibaha wametoka nje ya ukumbi wa Mkutano maalum wa kuwatambulisha watiania wa Ubunge na Udiwani uliofanyika kwenye Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kibaha.

Wajumbe hao wamechukua hatua hiyo mara tu baada ya kumaliza kutambulishwa majina ya wabunge, na wakogomea majina ya watiania wa nafasi ya udiwani kwa madai kuwa wahawataki madiwani wazee.

Watiania waliogomewa kwa madai ya umri mkubwa, pamoja na kupitishwa na Kamati Kuu ya CCM ni George Nangale, Goodlucky Manyama diwani aliyetetea kiti chake na Omary Bura aliyewahi kuongoza kwa miaka mitano kata hiyo.

Wajumbe hao wanawataka watiania vijana ambao majina yao hayajarudi ni pamoja na Nicus Pilu, Iddi Kanyallu, Hamo Machapula, Abuu Matumla, Hawa Kadibo na Sylivia Manyerere.

Mkutano wa kupiga kura kuchagua jina moja la atakayepeperusha bendera ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 utafanyika tarehe 4 Agosti 2025.

View attachment 3427102
Vijana hamtutaki Wazee! Duuh no reforms no election!
 
Reform itawafikia wote
 
Nyie NEC wa veggies mmeona wenzenu huku wanachofanya? Sio nyie mnamuogopa kizi mpo mpo tu..!!
 
Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Kibaha wametoka nje ya ukumbi wa Mkutano maalum wa kuwatambulisha watiania wa Ubunge na Udiwani uliofanyika kwenye Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kibaha.

Wajumbe hao wamechukua hatua hiyo mara tu baada ya kumaliza kutambulishwa majina ya wabunge, na wakogomea majina ya watiania wa nafasi ya udiwani kwa madai kuwa wahawataki madiwani wazee.

Watiania waliogomewa kwa madai ya umri mkubwa, pamoja na kupitishwa na Kamati Kuu ya CCM ni George Nangale, Goodlucky Manyama diwani aliyetetea kiti chake na Omary Bura aliyewahi kuongoza kwa miaka mitano kata hiyo.

Wajumbe hao wanawataka watiania vijana ambao majina yao hayajarudi ni pamoja na Nicus Pilu, Iddi Kanyallu, Hamo Machapula, Abuu Matumla, Hawa Kadibo na Sylivia Manyerere.

Mkutano wa kupiga kura kuchagua jina moja la atakayepeperusha bendera ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 utafanyika tarehe 4 Agosti 2025.

View attachment 3427102
NRNE
 
Majina yote yamerudishwa vipi tena au taarifa mpya bado hawajaipata?
 
Waraka huo hapo
 
Attachments

  • 4b8eb3b803d2eaa83aec12d0faf77d0b_1754054589196.mp4
    6.9 MB
Back
Top Bottom