Kimi Antonelli anachukua F1 Championship 2026 Season. Dogo ni Wamoto!

Kimi Antonelli anachukua F1 Championship 2026 Season. Dogo ni Wamoto!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Mercedes wanajua kupika watoto. Dogo ni fire. Kwa Msimu huu, wenye race 24, wamesharace 14, kati yake 8 Dogo kachukua P1, hafu 3 yuko podium (P2 au P3), kwahiyo ni race 3 tu Dogo hajashika nafasi ya 1, 2 au 3.

209.webp


Wakina Noris, Max nk washindanie nafasi ya pili tu.
 
Back
Top Bottom