msnajo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 3,066
- 1,141
Haijatokea na haitatokea nilale njaa ikiwa ninayemuamini anaishi
Amen! Barikiwa sana kwa hii iman. Uzuri tumeambiwa tukiwa na iman kama punje ya haradan tunaweza kuamuru mlima ung'oke ukatupwe baharin!! Wenye mashaka tu ndo wanashida.