msnajo JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 3,066 Reaction score 1,141 Sep 6, 2017 #141 masamakwetu said: Haijatokea na haitatokea nilale njaa ikiwa ninayemuamini anaishi Click to expand... Amen! Barikiwa sana kwa hii iman. Uzuri tumeambiwa tukiwa na iman kama punje ya haradan tunaweza kuamuru mlima ung'oke ukatupwe baharin!! Wenye mashaka tu ndo wanashida.
masamakwetu said: Haijatokea na haitatokea nilale njaa ikiwa ninayemuamini anaishi Click to expand... Amen! Barikiwa sana kwa hii iman. Uzuri tumeambiwa tukiwa na iman kama punje ya haradan tunaweza kuamuru mlima ung'oke ukatupwe baharin!! Wenye mashaka tu ndo wanashida.
A Amos Brithony Chakupewa New Member Joined Sep 14, 2017 Posts 1 Reaction score 0 Sep 22, 2017 #142 Mungu alisema hataiangamiza tena dunia kwa njia ngumu kama hiyo ataliyeyusha jiwe hilo na litapotea kabisa
Mungu alisema hataiangamiza tena dunia kwa njia ngumu kama hiyo ataliyeyusha jiwe hilo na litapotea kabisa