Kimondo ni kitu gani?

Kuna majini wanapenda kusikiliza mazungumzo (siri) yanayozungumzwa mbinguni na malaika, hawatakiwi kuyasikia, kwa hiyo jini yeyote anaekaribia tu eneo hilo hurushiwa hicho kinachoitwa kimondo (moto).

Aisee! Hivi ninyi watu, haya mawazo mnayatoaga wapi? Kitabu gani kimeandika haya?
 
kama kina linda mipaka sasa chenyewe kiko upande gani wa shetani,majini,yesu,mazimwi au?

Mkuu mbona unaenda mbali mm nazungumzia jini,shetani wanapotaka kukaribia ufalme wa mbingu hivo vimondo ndio vinaachiwa kuangamizwa hao majini
 
Kuna majini wanapenda kusikiliza mazungumzo (siri) yanayozungumzwa mbinguni na malaika, hawatakiwi kuyasikia, kwa hiyo jini yeyote anaekaribia tu eneo hilo hurushiwa hicho kinachoitwa kimondo (moto).

mkuu kwa hiyo kimondo ni majini?
 
umekuja kichawi zaidi!
 
Hatuna watu watu wa astronomy humu mbona pamejaa mzaha kama jukwaa la chit chat?
 
Mkuu hujalazamishwa kuamini ila huo ndo ukweli kwa mujibu wa vitabu vitakatifu hata nchi na nchi nyengine kuna mipaka sembuse ufalme wa mbingu

Vitabu gani? Waandishi wengi walikuwa wanabuni.
Bila ukweli wowote.
Ila ukitaka kuamini jiwe au kuabudi jua unadhani tutakukataza?
 
Kuna majini wanapenda kusikiliza mazungumzo (siri) yanayozungumzwa mbinguni na malaika, hawatakiwi kuyasikia, kwa hiyo jini yeyote anaekaribia tu eneo hilo hurushiwa hicho kinachoitwa kimondo (moto).

Mkuu kwani kwa uelewa wako Mbingu ipo sehemu gani? Je hilo wingu limetanda kuzunguka solar system yote au imetanda kuizunguka dunia tu?

Je kimondo kinapita juu ya mbingu au chini ya mbingu?
 
Ni sawa nimeona kuandika sana nitachosha wasomaji.
 
Mkuu mbona unaenda mbali mm nazungumzia jini,shetani wanapotaka kukaribia ufalme wa mbingu hivo vimondo ndio vinaachiwa kuangamizwa hao majini

Kwa hiyo, huyo jini na shetani usimwone ila uone moto anaorushiwa?

Sijawai kuwa mamuma kiasi cha kudanganywa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…