Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,243
- 3,047
Acha kudanganya watu.
Mkuu hujalazamishwa kuamini ila huo ndo ukweli kwa mujibu wa vitabu vitakatifu hata nchi na nchi nyengine kuna mipaka sembuse ufalme wa mbingu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kudanganya watu.
Kuna majini wanapenda kusikiliza mazungumzo (siri) yanayozungumzwa mbinguni na malaika, hawatakiwi kuyasikia, kwa hiyo jini yeyote anaekaribia tu eneo hilo hurushiwa hicho kinachoitwa kimondo (moto).
kama kina linda mipaka sasa chenyewe kiko upande gani wa shetani,majini,yesu,mazimwi au?
Linasafiri kutoka wapi mpaka lipite karibu na jua?.
Kwa hiyo kama halitapita karibu na jua halitaunguzwa na kuyeyuka?.
Natanguliza shukrani.
kimondo fc
Kuna majini wanapenda kusikiliza mazungumzo (siri) yanayozungumzwa mbinguni na malaika, hawatakiwi kuyasikia, kwa hiyo jini yeyote anaekaribia tu eneo hilo hurushiwa hicho kinachoitwa kimondo (moto).
chenjichenji katika ubora wake
Nenda mbozi kishawahi kuanguka huko zamani
Kimondo ni mfano wa jiwe lenye moto nakumbuka ilishawahi kuanguka sehemu nishasahau ila linataka kufanana na jiwe hupita kwenye uso wa dunia
Na kazi ya kuu nikulinda mipaka hususan huachiwa kwa ajili ya kushambuliwa majini na shetani wasivuke mipaka maana hata malaika anamipaka yake akipitiliza anaunguzwa vilevile.
Mkuu hujalazamishwa kuamini ila huo ndo ukweli kwa mujibu wa vitabu vitakatifu hata nchi na nchi nyengine kuna mipaka sembuse ufalme wa mbingu
Nasubiria majibu kutoka kwa ndugu yangu.Amesema ataeleza kwa lugha mchanganyiko!.
Hatuna watu watu wa astronomy humu mbona pamejaa mzaha kama jukwaa la chit chat?
Kaka mimi sio mwana astronomy ila nafuatilia sana haya mambo
Kuna majini wanapenda kusikiliza mazungumzo (siri) yanayozungumzwa mbinguni na malaika, hawatakiwi kuyasikia, kwa hiyo jini yeyote anaekaribia tu eneo hilo hurushiwa hicho kinachoitwa kimondo (moto).
Mkuu umeukaribia ukweli,
Sasa ni hivi hili jiwe linasafiri kwa kasi sana na wakati linasafiri likishalikaribia jua linaunguzwa na kuyeyuka na ndio maana unaona linakuwa na kama na mkia, hapo ujue lililuwa kwenye speed na likajipitisha very close to the sun.
Kama kuna mtu anahitaji ufafanuzi zaidi asema.
Aisee! Hivi ninyi watu, haya mawazo mnayatoaga wapi? Kitabu gani kimeandika haya?
Mkuu mbona unaenda mbali mm nazungumzia jini,shetani wanapotaka kukaribia ufalme wa mbingu hivo vimondo ndio vinaachiwa kuangamizwa hao majini
Ha ha ha! Hao jamaa hapo wameniacha hoi.Mambo mengine hata kwa tafakuri ya kawaida unaona ni ULONGO wa stori za watoto wa miaka 3 hadi 6.