Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hakuna kitu kitatokea bwashee relaxHamjambo!
Kama mambo yataenda hivi yalivyo. Nikiri kwamba hali yangu itakuwa ngumu na mbaya sana.
Pesa huna
Chakula huna.
Kazi haieleweki.
Tumekwisha
Anzisha tone tone tukuchangie. ILA, nikuonye mapema, usizichepushe kununua magari ya bei mbaya kama yule jamaa yetu. Ukijaribu tu tunakupeleka kwa Katuga fasta.Hamjambo!
Kama mambo yataenda hivi yalivyo. Nikiri kwamba hali yangu itakuwa ngumu na mbaya sana.
Pesa huna
Chakula huna.
Kazi haieleweki.
Tumekwisha
Kijana wangu acha kabisa hii mambo π watakuzika hawaEl La Ninyoo ni kudumbukia tu, kuhakikisha umeweka generator na vyakula vya kutoshaaa ...View attachment 3672246View attachment 3672247
Umesahau kubadili id mkuuπ€Naombeni 5k nikale π₯Ί
Thubutuuu!!Ni maandilizi ya kitaifa kupitia kitengo cha maafa, so ukikumbwa, serikali itakupa msaada.
Umekwisha sio tumeπ³Hamjambo!
Kama mambo yataenda hivi yalivyo. Nikiri kwamba hali yangu itakuwa ngumu na mbaya sana.
Pesa huna
Chakula huna.
Kazi haieleweki.
Tumekwisha
Ninaombrni afu tano me ni muwazi aseeh π ngj nikalipe mgodi elnino zikianza nikope hela ya kushindia mkate na maandazUmesahau kubadili id mkuuπ€
ππUmesahau kubadili id mkuuπ€
Umekopa shingapiπNinaombrni afu tano me ni muwazi aseeh π ngj nikalipe mgodi elnino zikianza nikope hela ya kushindia mkate na maandaz
Ba mchungaji umefufuka!ππ
Halleluya nimefufuka katika kristo ππ nimekuja humu nikajua watu wanajinda na maombi ya kuzia maafaBa mchungaji umefufuka!
Naweza hapa kwa sauti kubwa kuhusu SGR letu kama litaponaa kama El Nino atakuwepo kweli kweli nawaza sanaKijana wangu acha kabisa hii mambo π watakuzika hawa