Mkuu ina maana serikali ambayo yenyewe ndiyo imetugawia viwanja huku mabondeni na kutuletea barabara, umeme na maji haijui tulipo? Let us be serious on serious issues mkuu.Mkuu umesema sahihi.
Ila kwenye majanga kama haya ukisema utegemee serikali ambayo hata haijui uko wapi, ni kujitoa mhanga.
We hujui tu shida mchungaji kwenye hatari hakuna kinachoshindikana!🤭 mti utaweza kuupanda weyeeee🤣🤣
Mkuu ina maana serikali ambayo yenyewe ndiyo imetugawia viwanja huku mabondeni na kutuletea barabara, umeme na maji haijui tulipo? Let us be serious on serious issues mkuu.
Hii miguu itaenea tope na hizo barabarana
View attachment 3672257View attachment 3672258
C.c Tresor Mandala
Kwa hiyo serikali inakusanya kodi za kufanyia nini ikiwa haiwezi kuzitumia kwa manufaa ya wananchi?😄😄😆
Ninachosema ni kwamba, kwenye majanga yoyote jukumu la maisha na uhai wa mtu ni yeye mwenyewe kwanza.
Serikali mpaka Ije kama hukujipanga utakuwa ushakufa kitambo.
Usiogope El Nino ni mvua kubwa tu kupita kiasi lakini siyo tishio kihivyo.Hamjambo!
Kama mambo yataenda hivi yalivyo. Nikiri kwamba hali yangu itakuwa ngumu na mbaya sana.
Pesa huna
Chakula huna.
Kazi haieleweki.
Tumekwisha
Utaogelea kuifuata, chukua chako mapema kijana!Tusitishiane bn we mpare wa Makanya, hiyo El Nino yenu ije hata kesho tutasurvive tu kikubwa mtandao upo, cash ipo na mbususu haipo mbali.
Au nikunyakue wewe mambo yasiwe mengi.Utaogelea kuifuata, chukua chako mapema kijana!
Serikali ya nani?
Ya sa100?yenyewe haijui hata ianzie wapi wapo wapo tu wamezubaa wanatujua wabongo kuku wa kienyeji kila mmoja atapambana kwa style yake aishi
Tayari maandalizi ya kuweka mikakati yamesha anza kila mkoa,Labda kutoka marekani, ila huku kwetu sidhani!
Usiogope El Nino ni mvua kubwa tu kupita kiasi lakini siyo tishio kihivyo.
Tanzania inapata mvua za El nino karibu kila baada ya miaka miwili au mitatu tofauti huwa ukubwa wa matukio tu.
Na maisha yanaendelea kama kawaida.
Tusitishiane bn we mpare wa Makanya, hiyo El Nino yenu ije hata kesho tutasurvive tu kikubwa mtandao upo, cash ipo na mbususu haipo mbali.
Tunawezaje kujiandaa, haijulikani.....
SGR ni pasua kichwa, maana mvua za kawaida zilisababisha shida japo haikuwa kubwa, sasa kama hii itakuwa El Nino 5, na kama unavyojua hali ya Morogoro mvua ikichapa kisawa sawa inavyokuwa ?Hii kitu ya SGR nami imenifikirisha sana.
Kuna mahali tuta limeinuliwa kwenye mapitio ya maji, mfano Morogoro pale kwenye njia ya maji jirani na Mto Ngerengere.
Naamini TRC watakuwa nao wanatengeneza njia za maji kuyaeleleza mtoni na kuutanua mto.
Watamtupia mpira marehemu mwendazake , si unajua za hawa watu 😅Hilo li SGR uchwara la Samuya nalo litakwenda na Elnino.
hahahah! kuna supu ya nini kitaaa, jana nimechapa maji ndiii hadi bado nayasikilizia kwa kichwaa yanazingukahebu ngoja nimtume kijana wa bolt aje kukuchukua
Familia itakula tu na mambo yataenda, kwani mara ngapi ulikua apache mfukoni ukapatwa na magumu na ukapenya!Mimi sijajipanga. Wewe unataka hata kesho Ije utalisha familia yangu,
kuna supu ya kichwa cha mbuzi,kiwahi fastahahahah! kuna supu ya nini kitaaa, jana nimechapa maji ndiii hadi bado nayasikilizia kwa kichwaa yanazingukaView attachment 3672296View attachment 3672297View attachment 3672298
Ni hatari, kikubwa TRC wajipange sasa.SGR ni pasua kichwa, maana mvua za kawaida zilisababisha shida japo haikuwa kubwa, sasa kama hii itakuwa El Nino 5, na kama unavyojua hali ya Morogoro mvua ikichapa kisawa sawa inavyokuwa ?