wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,633
- 3,463
Waambie waweke kwenye akaunti yangu kwa kuwa serikali haikagui akaunti za sisi tulio kwenye system.πππ
Ngoja nifungue akaunti maalumu ya maafa.
Alafu serikali ikichungulia ikiona zimefika mabilioni itazitaifisha wakati ni jasho languππ
Waambie waweke kwenye akaunti yangu kwa kuwa serikali haikagui akaunti za sisi tulio kwenye system.
Kwa maana nyingine pesa yako itakuwa kwenye mikono salama.
Ac. No. : Q555JZ1123 Name: Joji W. Kaiser
Branch: MIX Jersey Island
Credit AgricoleJina la bank?
Umechelewa kidogo tu nimetoka kuweka booking si mudaπAu nikunyakue wewe mambo yasiwe mengi.
Duhh sawa ngoja tuone!Tayari maandalizi ya kuweka mikakati yamesha anza kila mkoa,
Ni kuomba tu Mungu, El Nino lisiwe janga kubwa kupita kiasi..
Haina noma ikija El Nino nyingine nshaweka order ya 'sogea tukae'.Umechelewa kidogo tu nimetoka kuweka booking si mudaπ
Imeisha hiyo miaka 20 mbele..Haina noma ikija El Nino nyingine nshaweka order ya 'sogea tukae'.
π€£itakua imeshafunga haifai kwa zile kazi zetu.Imeisha hiyo miaka 20 mbele..
Kwahiyo nitakuwa naishi kama kizukaπ€π€£itakua imeshafunga haifai kwa zile kazi zetu.
Huko mbali sana ila utakua unatumia kupitishia maji yanayotoka kwenye kibofuKwahiyo nitakuwa naishi kama kizukaπ€
Sawa asante kwa ushauri!Huko mbali sana ila utakua unatumia kupitishia maji yanayotoka kwenye kibofu
Serikali imetenga 770bil, huoni kuwa inatujali?Mkuu umesema sahihi.
Ila kwenye majanga kama haya ukisema utegemee serikali ambayo hata haijui uko wapi, ni kujitoa mhanga.
Sijajipanga mana huku hakuna tambalareMzigua_255 umejipangaje na El ninyo
Masweta jeSijajipanga mana huku hakuna tambalare
Nimetinga koti langu hapa laMasweta je
Hebu tupiamo tupicha kdg kule selfika tuone hilo koti la kikwaviNimetinga koti langu hapa la