M Mzigua_255 JF-Expert Member Joined Jun 25, 2026 Posts 908 Reaction score 1,857 Sep 18, 2026 #101 Kazanazo said: Hebu tupiamo tupicha kdg kule selfika tuone hilo koti la kikwavi Click to expand... Hahahahaha sina touch natumia batan
Kazanazo said: Hebu tupiamo tupicha kdg kule selfika tuone hilo koti la kikwavi Click to expand... Hahahahaha sina touch natumia batan
K Kijana wa Kizimkazi 2030 JF-Expert Member Joined Apr 25, 2026 Posts 4,842 Reaction score 10,164 Sep 18, 2026 #102 Tayari ishaanza maeneo ya kaskasini na nyanda za juu kusini
M Mzigua_255 JF-Expert Member Joined Jun 25, 2026 Posts 908 Reaction score 1,857 Sep 18, 2026 #103 Baba mtakatifu91 said: Tayari ishaanza maeneo ya kaskasini na nyanda za juu kusini Click to expand... Si tanga huku zimeanza sema sio kubwa ni hata maji hayatililiki
Baba mtakatifu91 said: Tayari ishaanza maeneo ya kaskasini na nyanda za juu kusini Click to expand... Si tanga huku zimeanza sema sio kubwa ni hata maji hayatililiki