Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Na viongozi kimya kama hakuna crisis kubwa kiasi hikiNajua nyuzi za namna hii huwa hazipendwi sana , hii ni kwa sababu zinaanika uozo wa nchi , viongozi wa nchi , pamoja na watendaji Wazito wenye madaraka Makubwa , maeneo mengine wanaitwa Wawezeshaji ( watoa hela )
Kwenye Nchi ambayo umeme unakatwa kwa eneo la 75% , kwa wakati mmoja huwezi kusema neno lingine zaidi ya kusema Nchi hiyo haina Umeme , Wala siyo Aibu maana ni kweli kwamba Umeme Hakuna .
Nakulilia Tanzania
Huko nishati ni kuteua na kutengua tu.Mvuti hakuna umeme mda huu
vasco da mama yuko bize na teuzi
hahaha noma sanaHuko nishati ni kuteua na kutengua tu.
Umeme upo nchi kipindi hiki haina msimamizi makini!Najua nyuzi za namna hii huwa hazipendwi sana , hii ni kwa sababu zinaanika uozo wa nchi , viongozi wa nchi , pamoja na watendaji Wazito wenye madaraka Makubwa , maeneo mengine wanaitwa Wawezeshaji ( watoa hela )
Kwenye Nchi ambayo umeme unakatwa kwa eneo la 75% , kwa wakati mmoja huwezi kusema neno lingine zaidi ya kusema Nchi hiyo haina Umeme , Wala siyo Aibu maana ni kweli kwamba Umeme Hakuna .
Ni vema Watanzania tukajifunza kusema ukweli , Maana ukweli haujawahi kuwa dhambi , bali uongo ni dhambi , fedheha na Aibu kuu .
Nakulilia Tanzania
Ngoja tuone mabadiliko yatakuja na nnhahaha noma sana
aah wapi, walisema mgao ni endelevuNgoja tuone mabadiliko yatakuja na nn
Hii nchi hadi tuje kuendelea yahitaji maombiaah wapi, walisema mgao ni endelevu
Sisi tangu saa 11 jioni Hadi Sasa Giza totoroSaa hizi huku tupo gizani kama mende