Kimsingi Tanzania haina Umeme

Kimsingi Tanzania haina Umeme

Najua nyuzi za namna hii huwa hazipendwi sana , hii ni kwa sababu zinaanika uozo wa nchi , viongozi wa nchi , pamoja na watendaji Wazito wenye madaraka Makubwa , maeneo mengine wanaitwa Wawezeshaji ( watoa hela )

Kwenye Nchi ambayo umeme unakatwa kwa eneo la 75% , kwa wakati mmoja huwezi kusema neno lingine zaidi ya kusema Nchi hiyo haina Umeme , Wala siyo Aibu maana ni kweli kwamba Umeme Hakuna .

Ni vema Watanzania tukajifunza kusema ukweli , Maana ukweli haujawahi kuwa dhambi , bali uongo ni dhambi , fedheha na Aibu kuu .

Nakulilia Tanzania
Ukisema haina umeme unakuwa umeingia Kingi wataofanya hivyo wanataka muone shirika haliwezi kujisimamia..
 
Umeme sio muhimu kama demokrasia kwa sababu tuna demokrasia now yatosha😁 muacheni mama apige kazi
 
Samia alisema katiba mpya isubiri ajenge uchumi , uchumi wenyewe ndio buu wa giza na uhaba wa bidhaa, dawa ni kuandamana kwenda ikulu atupe majibu
 
Samia alisema katiba mpya isubiri ajenge uchumi , uchumi wenyewe ndio buu wa giza na uhaba wa bidhaa, dawa ni kuandamana kwenda ikulu atupe majibu
😆😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom