Kimsingi tozo bado hazijafutwa kwa sababu zifuatazo

Hamna nafuu yoyote anayoweza kutupa mwana siasa yoyote zaidi ya maumivu na kutukandamizia chini ili wao wainuke, hapa tutazamie karibu na 2024 labda kwa sababu ya uchaguzi mkuu wanaweza kufikiria kuja kutudanganya tena.
 
A very good analysis
 
Mwigulu hana huruma na Watanzania anaendesha Nchi kama vile ni ya kwake kabisaa Wananchi wanachohitaji sio kinachofanyika ila malalamiko ya watu wengi huwa na majibu sahihi Mungu ni mwema sana na wakati wote..
 
Kuna baadhi ya wanachi ni wajinga sana, baada ya kukataa tozo wao walikuwa wanasema ipunguzwe.

Haya sasa ndio imepunguzwa hapo, kila mtu apambane na Hali yake maana serikali haitabana matumizi kamwe na wale waliokuwa wanataka ipunguzwe ndio wataendelea kuwa masikini.

Wajinga ndio waliwao, a luta continua.
 
Waondoe tozo mtu ukitaka kulipia control number.

Nilikuwa nataka kulipia control numbe ya mgonjwa muhimbili kwa simu, nikaona tozo 7,000 nimeenda kulipia kwa wakala hamna tozo.

Hivi kweli me nauguza, hela yenyewe tumechanga familia nzima, halafu kuilipia kwa simu serikali mchukue elfu 7, ni kwamba mnataka kuua wagonjwa au nini? Hivi serikali nyie ni wachawi au?

Kulipia kwa simu control number kulirahisisha sana maisha, ila sasa tutaenda tu kwa wakala tukalipie, tozo mje kuifuata nyumbani kwangu shubamiti
 
Mkuu unajua sana, salute!
 
PRESIDA wa mastone, swali kwako: kijijini kwako, wangapi wa natumia mabenki kutuma na kupokea fedha?,
 
Hongera kwa uchambuzi safi usiokua na hisia
 
Kitu ambacho siwaelewi Wadanganyika ni hili la unafiki. Sijui tuliupatapataje.

Imagine, wanaweza tozo wanakuja hadharani kujisifu kwamba tunafanya mambo kwa pesa zetu, Maza anaupiga mwingi, aisiyetaka aende Burundi.

Watu wanakomaa, wanarudi, serikali ya CCM ni sikivu, Maza amesikia kilio cha watu tutapunguza tozo kuanzia mwezi wa 10. Wabunge wanashangilia.

Cha kusikitisja ni kwamba wabunge wa CCM wanashangilia na kupitisha huo mswada kwa kusikiliza kauli za Mwigulu. Hawajui mtego upo wapi. Sheria ikianza kutumika watu wakspiga kelele ndiyo utawasikia tena wakimuomba Maza asikilize kilio cha wananchi. Yaani kazi ya Bunge la Tanzania ni kumuombea Rais kusikiliza vilio vya wananchi.... This is Tanzania.
 
Na we unachanganya mambo, hizo ni gharama za benki haina uhusiano na tozo za serikali. Hata kabla ya tozo hizo gharama zilikuwepo shida ni kwamba mnaogopa kuwapigia kelele watu wa benki kila kitu ni kuilalamikia serikali hata ktk mambo ambayo haihusiki. Labda serikali kupitia benki kuu iyabane mabenki wapunguze gharama ya makato yao
 
Kiukweli tutamkumbuka sana hayati JPM, pamoja na yote, alisaidia watu kufikiri kabla ya kutenda kwa hofu ya kutumbuliwa. Hata kama wanaiita nidhamu ya uoga, ila ilisaidia sana!
Viongozi wa sasa ni waonevu sana!
Majibu na maamuzi yao yanakatisha tamaa

Kuna aliyekuwa muonevu kama Magufuli? Au ulikuwa una mgao wako kwenye zile pesa alizokuwa anapora wafanyabishara?
 
Sasa nini kifanyike? Maana hawa jamaa wanatuchukulia poa sana yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…