OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Huenda Djuma Shabani na Aucho wasiwe sehemu ya kikosi Cha Yanga kitakochokikabiri Rivers United wikiend hii baada ya kuenea kwa taarifa kuwa CAF wamewapa taarifa hiyo Yanga, kufuatia timu zao za zamani kuchelewesha kutuma hati yake ya uhamisho (ITC ).
Imeelezwa ITC zimechelewa kutumwa kutokana na Yanga kutokamilisha malipo ya ada ya usajili.
Sio maneno yangu ni maneno ya Mchumia Tumbo