OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Sawa,wanaisubiri Simba Tarehe 25/9 kwenye Ngao ya jamiiHuenda Djuma Shabani na Aucho wasiwe sehemu ya kikosi Cha Yanga kitakochokikabiri Rivers United wikiend hii baada ya kuenea kwa taarifa kuwa CAF wamewapa taarifa hiyo Yanga, kufuatia timu zao za zamani kuchelewesha kutuma hati yake ya uhamisho (ITC ).
Imeelezwa ITC zimechelewa kutumwa kutokana na Yanga kutokamilisha malipo ya ada ya usajili.
Tetesi kama inasemekana ,subiri msemaji Bughatti aje aseme.Huenda Djuma Shabani na Aucho wasiwe sehemu ya kikosi Cha Yanga kitakochokikabiri Rivers United wikiend hii baada ya kuenea kwa taarifa kuwa CAF wamewapa taarifa hiyo Yanga, kufuatia timu zao za zamani kuchelewesha kutuma hati yake ya uhamisho (ITC ).
Imeelezwa ITC zimechelewa kutumwa kutokana na Yanga kutokamilisha malipo ya ada ya usajili.
Jiandae kisaikolojia,si rahisi kihivyo na ukumbuke Yanga ni timu kubwa ina CEO wa kimataifa na matajiri wanaojielewa siyo wale wanaodanga na jushi da mitandaoni.Bingwa wa hamasa Duniani H.Manara anazungumza na wanahabari leo jumatano,saa 6 mchana.Stay tunedHuenda Djuma Shabani na Aucho wasiwe sehemu ya kikosi Cha Yanga kitakochokikabiri Rivers United wikiend hii baada ya kuenea kwa taarifa kuwa CAF wamewapa taarifa hiyo Yanga, kufuatia timu zao za zamani kuchelewesha kutuma hati yake ya uhamisho (ITC ).
Imeelezwa ITC zimechelewa kutumwa kutokana na Yanga kutokamilisha malipo ya ada ya usajili.
Inamaanisha yanga walikopa songesha[emoji38][emoji38][emoji38]hayaa ndo madhara ya miamala ya songesha
Kwani Manara akizungumza na wanahabari ndio mtakuwa mmeshinda magoli mangapi?Najua wewe ni Babra,Jiandae kisaikolojia,si rahisi kihivyo na ukumbuke Yanga ni timu kubwa ina CEO wa kimataifa na matajiri wanaojielewa siyo wale wanaodanga na jushi da mitandaoni.Bingwa wa hamasa Duniani H.Manara anazungumza na wanahabari leo jumatano,saa 6 mchana.Stay tuned
Utopolo ni timu kongwe na sio kubwa.Jiandae kisaikolojia,si rahisi kihivyo na ukumbuke Yanga ni timu kubwa ina CEO wa kimataifa na matajiri wanaojielewa siyo wale wanaodanga na jushi da mitandaoni.Bingwa wa hamasa Duniani H.Manara anazungumza na wanahabari leo jumatano,saa 6 mchana.Stay tuned

Na kama ni kweli ni ngumu kumaliza documentation ndani ya siku 3 zilizobaki ,ni aibu sana wanashindwa hata na Biashara United kwa umakiniSio kusema "UENDA" kwenye ukweli waambie...yaan documentation siku zote wameshindwa Sasa ofisini watendaji wanafanya nn? Haji Manara yupo jaman atacheza..
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app